Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Waganga kama wajumbe.Profession za watu hizi duh kuna watu skillful....jamaa kamwaga "maneno asali" hadi jinzi imetii sheria bila shuruti [emoji23][emoji23][emoji23] mamaeee....wait wait......hizi sio jinzi zetu zile?
Ukiona tako lile halafu ati anaenda kulala , kamtibu mgonjwa!!
Wanawake wengi wanaliwa na hao waganga /wajumbe