secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kwani kabla hujazaliwa ilikuwaje mkuu. Hebu nipe experience.Nikikumbuka mama mmoja alinambia ooh ukifa kitendo Cha kuzikwa tuu, adhabu inaanza hapo hapo mara nyoka aje ajiviringishe hapo nachoka
Nikigeuka huku napo naambiwa kuna moto usio zima
Lakini Mimi nafikiria sana ile mtu anakufa na pale kuzikwa nachokaga mno aaani....
Kwamba Kuna siku sitofumbua macho, kuongea wala kutabasamu
Kwamba watu wataambiwa tutoe heshima ya mwisho huku nikililiwa na wapendwa wangu ambao siwaoni wala kuwasikia
Nawaza sana, naona ikiwa kuna kuzaliwa mara ya pili Kuna haja Tena ya kuzaliwa kweli??
Kwenye dunia iliyojaa maumivu, mateso, njaa, wadudu, magonjwa aibu, fedheha na umasikini ??
Wakati mwingine nawaza kwann nisiseme tuu nikifa nichomwe moto maake kuzikwa aseeh naona nitashindwa kupumua sjui, kilo za mchanga zinanilalia na kunifunika kabisa kabisa,
Nawaza
Nawaza
Nawaza
Nipeni maua yangu nikiwa hai shada la urafiki mwema, wala Chaga community halitafaa nikiwa sina nguvu hata na uwezo wa kuona wala kunusa
cc secretarybird Poor Brain
Yoooh jazia jazia kidogo hii imenivutiaUkifa duniani unakuwa umezaliwa kwingine na ukifa huko kwingine unakuwa umezaliwa duniani
Umeandika kwa hisia sana BroNikikumbuka mama mmoja alinambia ooh ukifa kitendo Cha kuzikwa tuu, adhabu inaanza hapo hapo mara nyoka aje ajiviringishe hapo nachoka
Nikigeuka huku napo naambiwa kuna moto usio zima
Lakini Mimi nafikiria sana ile mtu anakufa na pale kuzikwa nachokaga mno aaani....
Kwamba Kuna siku sitofumbua macho, kuongea wala kutabasamu
Kwamba watu wataambiwa tutoe heshima ya mwisho huku nikililiwa na wapendwa wangu ambao siwaoni wala kuwasikia
Nawaza sana, naona ikiwa kuna kuzaliwa mara ya pili Kuna haja Tena ya kuzaliwa kweli??
Kwenye dunia iliyojaa maumivu, mateso, njaa, wadudu, magonjwa aibu, fedheha na umasikini ??
Wakati mwingine nawaza kwann nisiseme tuu nikifa nichomwe moto maake kuzikwa aseeh naona nitashindwa kupumua sjui, kilo za mchanga zinanilalia na kunifunika kabisa kabisa,
Nawaza
Nawaza
Nawaza
Nipeni maua yangu nikiwa hai shada la urafiki mwema, wala Chaga community halitafaa nikiwa sina nguvu hata na uwezo wa kuona wala kunusa
cc secretarybird Poor Brain
Mdada mzuri kwa mjibu wa Avatar na I'd name asante kwa mchango wako kipenzi 😉Unapozaliwa unaingia kweny database ya nchi, na nchi ina sheria zake ambazo wewe kama raia utazifuata… ukitaka usifungwe ukijiua nenda uzaliwe kwa kina hadzabe 😂😂😂
Kule ndyo hadi muda huu bado sheria azijazama sawasawa
Njoo twenye wine kwanzaUnaogopa kufa 😀
Nikusanue kifo ni haki yako
Stay tuned 😉
Ukifa unakuwa kama jiwe tu, halioni wala kusikia chochote.Nikikumbuka mama mmoja alinambia ooh ukifa kitendo Cha kuzikwa tuu, adhabu inaanza hapo hapo mara nyoka aje ajiviringishe hapo nachoka
Nikigeuka huku napo naambiwa kuna moto usio zima
Lakini Mimi nafikiria sana ile mtu anakufa na pale kuzikwa nachokaga mno aaani....
Kwamba Kuna siku sitofumbua macho, kuongea wala kutabasamu
Kwamba watu wataambiwa tutoe heshima ya mwisho huku nikililiwa na wapendwa wangu ambao siwaoni wala kuwasikia
Nawaza sana, naona ikiwa kuna kuzaliwa mara ya pili Kuna haja Tena ya kuzaliwa kweli??
Kwenye dunia iliyojaa maumivu, mateso, njaa, wadudu, magonjwa aibu, fedheha na umasikini ??
Wakati mwingine nawaza kwann nisiseme tuu nikifa nichomwe moto maake kuzikwa aseeh naona nitashindwa kupumua sjui, kilo za mchanga zinanilalia na kunifunika kabisa kabisa,
Nawaza
Nawaza
Nawaza
Nipeni maua yangu nikiwa hai shada la urafiki mwema, wala Chaga community halitafaa nikiwa sina nguvu hata na uwezo wa kuona wala kunusa
cc secretarybird Poor Brain
Je mtu hana haki ya kuchagua haki moja kati ya hizo haki pacha KIFO&KUISHIKuna haki mbili ambazo zinafuatana, haki ya kuishi, na hiyo haki ya kifo.
Ni kosa mtu kujiua/ kutaka kujiua kwa sababu anakuwa amejikatisha/ anataka kujikatisha haki yake ya kuishi.
Hii haki ya kuishi inakoma pale ambapo mtu anaweza kufa kwa magonjwa, ajali, au hata kufa usingizini bila marehemu kuumwa popote.
From there, ndipo tunaenda sasa kwenye maandiko matakatifu.
Marehemu amekufa akiwa katika hali gani kiroho, je, alijiandaa kulingana na maandiko yake matakatifu?
Kama alijiandaa, hapo ndipo unakutana na hilo andiko ulilotuwekea hapo la "heri wafao katika Kristu...."
Kumbuka, hapa pia wapo wale waliokufa kwa haki [kutimiza andiko - kila nafsi itaonja mauti] lakini hawakufuata mafundisho ya vitabu vyao vitakatifu.
So, katika muktadha wa kifo kiulimwengu, kufa lazima kuendane na sababu maalum nilizotaja pale juu, ujue hata kifo cha kuuwawa na wasiojulikana sio cha haki, ni kukatisha uhai wa mwingine.
Location?Njoo twenye wine kwanza
AsanteNi kukata moto
Hiyo nayo inafikilisha🤔Mkuu ulishawahi kuwaza kuwa kwanini tusiishi milele? Je haiwezekani ? Kwanini tumewaza kuna kitu milele?
Hiyo haki ya kujitoa uhai hapa kwetu Tanzania haipo, lakini ipo Marekani kwa baadhi ya majimbo, hasa ikithibitika kitaalamu mgonjwa anateseka na ugonjwa wake hauna tiba mfano cancer.Je mtu hana haki ya kuchagua haki moja kati ya hizo haki pacha KIFO&KUISHI
Imagine mtu ameteseka kwa maradhi mda mlefu tena anaishi kwa maumivu mfano sijui cancer kupooza mtu hawezi hata kujisogeza na Nk...
Huyu mtu akichagua kifo kwanini asikubariwe?
Ohoo kwahiyo kama mtu akiamua kuiunguza mwenyewe hiyo software kuna kosa hapo?Kufa ni kuungua kwa software ya mwili
Hapa kwetu ni uvumilietu maumivu 😢Hiyo haki ya kujitoa uhai hapa kwetu Tanzania haipo, lakini ipo Marekani kwa baadhi ya majimbo, hasa ikithibitika kitaalamu mgonjwa anateseka na ugonjwa wake hauna tiba mfano cancer.
Kwa hapa kwetu, ni uvumilie tu maumivu mpaka pale muumba atakapoamua kuchukua uhai wako.
😁😁😁 samaki samakiLocation?
Funza wao wana tutafuna sisiUkifa hakuna kinachoendelea bimkubwa. Ukifa nyama ya funza, stori inaishia hapo. 😁
Samaki samaki ya masaki au mlimani city hebu nyooka ni Bolt😀😁😁😁 samaki samaki