dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,190
- 4,314
ikiwa unalalamika 500 ya kivuko utaweza kodi za kino/masaki? unajua changamoto ya kwenda kimara kwa kutumia mwendokasi?Fikra mfu.
Kwani kuna njia ngapi za kwenda Masaki?
Au Kinondoni? Au Kimara?
Hao watu wanalipa bei gani kama toll kufika kwao?
Fyalaaa
Nimeshangaa middle class hana hata pikipiki ya kuchajiHapana wewe itakuwa low income
Kuwa mkweli tuu
Direct exploitation.Sijapita muda mrefu njia ya Ferry, mara ya mwisho nilivuka Ferry kwa kulipia shilingi 2,000 nikiwa na gari
Baada ya kuona muda mrefu ninaotumia kusubiri Panton nikaona bora niwe navuka darajani tu, ambapo nauli ni shilingi 1,500 Kila unapovuka
Hata hivyo sidhani kama ni sahihi kuwachaji raia shilingi 500 kuvuka pale ferry kutoka shilingi 200
Labda Kwa kuwa biashara ya kuvusha watu na magari pale amepewa (Barhessa) Azam marine kukiendesha 🙌
Kwasasa Serikali haijali kabisa raia wake 🙌
Hakukuwa na ulazima kupandisha nauli ya kivuko Kwa kiasi hicho.Direct exploitation.
Na ndio mambo wanayotakiwa kurise hawa waandishi wa habari.
Wamekalia habari za Zuchu tu
Siku tukiamka kutoka usingizi wa pono rasilimali zote zitakuwa kwenye mikono ya wachache. Ndio itakuwa too late na machafuko ndio yaanzaga hivihivi.Hizo sio tabia za watu wa Kigambon sema ni za watanzania tupo kama mazuzu CCM wanatufanya wanavyotaka
Wanapandisha nauli halafu wanaua vivuko vya serikali.Hakukuwa na ulazima kupandisha nauli ya kivuko Kwa kiasi hicho.
Hata hivyo Sheria inataka kabla hujapandisha nauli inatakiwa utangaze kwenye gazeti la Serikali ili Wananchi wawe na hiyo awareness
Aisee umetuweza kwa kweli!!kuna mwamba alipewa kiwanja cha bure kule akakataa na mitusi juu, unawezaje kukaa zanzibar na ufanye kazi bara, ni upuuzi halafu wanaweka ugumu kwenye daraja na pantoni ili wawapige hela, kimsingi ukiona mtu anakaa kule ana matatizo ya afya ya akili period.
500 nadhani ni sea tax za azamKivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya.
Ndiyo changamoto ya madaraka kukabidhiwa Kwa wafanyabiasharaWanapandisha nauli halafu wanaua vivuko vya serikali.
Poleni SanaEndapo cha serikali hakifanyi kazi bei ni hiyo hiyo.
Kwani watu wa Kigamboni ni kabila gani vile...!Kigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu.
1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya.
2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury.
Hakuna kelele.
3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya.
4. Siku kadhaa pamoja na leo ukifika feri unarudishwa upite Darajani. (Kivuko hakifanyi kazi) hutasikia ikiripotiwa popote licha ya utitiri wa Online medias.
So leo tukubaliane kuishi Kigamboni uwe mpole, mvumilivu na uwe tayari kuonewa na kukandamizwa na serikali yako.
Asante.