Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Ikawaje Sasa???Wakati nasoma hayo maeneo kuna siku mwizi aliiba simu ya mtu watu walivyoanza kumkimbiza akakimbia kuingia baharini. Watu wakawa wanamsubiri huku upande wa Posta.
Raia walivyoona hana dalili ya kutoka wakaanza kurusha mawe, jamaa akasogea mbali zaidi.
Raia wakakodi mtumbwi wakaanza kumfuata. Yule mwana alikua anaelea huku kanyanyua mkono mmoja simu isilowe ila alivyoona wanamfuata na mtumbwi akaachia simu.
Ile siku watu walikua wamevurugwa
Kama ni mgeni huku utapata shida ila kwa wakazi wameshazoea formation, wenye magari wanatumia daraja labda kama akitaka kubet feri ila wa usafiri wa uma ndo feri,,,,,kuna namna cha 500 kimeokoa muda kuliko cha 200, kama hujisikii kupita feri kwa sasa kigamboni kuna ruti zimeongezeka za kuingia mjini na daladala , kikubwa kubaliana na hali ya watu kama wa kimara au huko tegeta........sahv feri mtu anapita kama anataka uharaka wa kuingia mjini ila option nyingine zipoKigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu.
1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya.
2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury.
Hakuna kelele.
3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya.
4. Siku kadhaa pamoja na leo ukifika feri unarudishwa upite Darajani. (Kivuko hakifanyi kazi) hutasikia ikiripotiwa popote licha ya utitiri wa Online medias.
So leo tukubaliane kuishi Kigamboni uwe mpole, mvumilivu na uwe tayari kuonewa na kukandamizwa na serikali yako.
Asante.
Tutayajenga inbox mzee wangu πNipe mualiko iddi ijayoo
Ntasimamia kila kitu.
Powaa powaaTutayajenga inbox mzee wangu π
Kuishi Kigamboni uwe Don bana kama pangu pakavu lazma utubu tuAu ndo tuseme Kigamboni wanaishi matajiri zaidi kwa sasa?
Acha rongorongo, kwani , unawajua wote?Kigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu.
1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya.
2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury.
Hakuna kelele.
3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya.
4. Siku kadhaa pamoja na leo ukifika feri unarudishwa upite Darajani. (Kivuko hakifanyi kazi) hutasikia ikiripotiwa popote licha ya utitiri wa Online medias.
So leo tukubaliane kuishi Kigamboni uwe mpole, mvumilivu na uwe tayari kuonewa na kukandamizwa na serikali yako.
Asante.
Hahaha......... Kijiji beach huwa nakwenda mara chache chacheDaah aseeh me mjukuu siku moja moja napoa pweza au Kijiji beach, huko hapana sijui mzee wangu Dr am 4 real PhD
Na uwe unatumia jamii forum πHahaha......... Kijiji beach huwa nakwenda mara chache chache
Siku ukikutana na Mzee mrefu anatembelea mkongojo hapo Kijiji beach basi ujue ni Mimi huyo π
Hahaha.......hiyo tunatumia kwa kificho kama cha Arusha πNa uwe unatumia jamii forum π
Aseeh basi me naifungua public huwa siwazagi hata kidogo juu ya hilo, japo niliona Juzi mtu ananikazia macho πHahaha.......hiyo tunatumia kwa kificho kama cha Arusha π
Kigamboni wanakaa wapemba wengi, ndio maana hakuna kulalamaKigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu.
1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya.
2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury.
Hakuna kelele.
3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya.
4. Siku kadhaa pamoja na leo ukifika feri unarudishwa upite Darajani. (Kivuko hakifanyi kazi) hutasikia ikiripotiwa popote licha ya utitiri wa Online medias.
So leo tukubaliane kuishi Kigamboni uwe mpole, mvumilivu na uwe tayari kuonewa na kukandamizwa na serikali yako.
Asante.
Hahaha......kabisa Mkuu, unakunywa huku unakula upepo wa bahari tu π€Huko bia moja ni 4k
Yaani kama ni 500 kuingia na kutoka 500,kila siku Kwa mwaka unakuwa umetumia 365000, kuvuka Tena kwenye nnchi Yako mwenyewe! Hiyo ni mtu mmoja, mitano Tena Kwa kweli!Kwa mnaotarajia kuja kuvuka feri na gari msije!! Piteni Darajani.
Wewe wa 200 leo lazima ulipe 500.
Gari ni 1500Γ2 =3000 per day.Yaani kama ni 500 kuingia na kutoka 500,kila siku Kwa mwaka unakuwa umetumia 365000, kuvuka Tena kwenye nnchi Yako mwenyewe! Hiyo ni mtu mmoja, mitano Tena Kwa kweli!
Kama hutaki piga mbiziKwa mnaotarajia kuja kuvuka feri na gari msije!! Piteni Darajani.
Wewe wa 200 leo lazima ulipe 500.
Bora kimara, ila sio Kigas, wee.Kimara napo si shida maji, usafiri,kama una gari foleni,wakat wa mvua njiaaa tope +mashimo au
Ova
hii 500 ni ya sea tax?K
Kama ni mgeni huku utapata shida ila kwa wakazi wameshazoea formation, wenye magari wanatumia daraja labda kama akitaka kubet feri ila wa usafiri wa uma ndo feri,,,,,kuna namna cha 500 kimeokoa muda kuliko cha 200, kama hujisikii kupita feri kwa sasa kigamboni kuna ruti zimeongezeka za kuingia mjini na daladala , kikubwa kubaliana na hali ya watu kama wa kimara au huko tegeta........sahv feri mtu anapita kama anataka uharaka wa kuingia mjini ila option nyingine zipo