Kigamboni: Eneo lenye watu Wapole, Wavumilivu na Wanaonewa zaidi na Serikali yao

Lini unaenda kumtembelea upite na kwangu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwendazake akiwa waziri aliwahi kutuambia kipindi nauli ya kivuko imepanda "kama huna 200" upige mbizi πŸ€£πŸ˜‚

Tukubali tukatae watanzania kiujumla tumekuwa wavumilivu sana kiasi uvumilivu wetu, watawala wanatuona sisi ni MAZUMBUKUKU
 
Aisee labda uwe unakuja kwako
 
Hiyo 200 ni ukipanda express ya azam bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…