sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Kuna moshi mkubwa Kigamboni na inasemekana ni reserve ya mafuta inaungua.
Inatengenezwa scarcity?
===
Inatengenezwa scarcity?
===
Kuna Magari Mawili yalikuwa yamepaki karibu na Tanzania International petroleum Reserves(TIPER), inaonekana Betri zilipata hitilafu moto ukatokea. Hivyo magari yote mawili yakashika moto.
Ukiangalia kwa mbali moshi unaonekana upo TIPER, ila moto wala haujasogelea. Ile sehemu wanamwaga mafuta machafu ndo maana moshi ukawa Mkubwa.