Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

IMG_20220406_181855_270.jpg

Mliopo kigamboni Kuna Nini sisi wa mbali tunaona Moshi mkubwa mweusi juu kwa mbali.mliokaribu mtupe .update maana sisi wengine ni wageni wa mji
 
Duuuuh hii serikali ya awamu ya sita tuiite serikali ya motomoto fanaleki yaan kila siku moto yaani moto naww alafu mafuta yenyewe yanelekea kuwa adimu Duuuh
 
Kumenoga Sasa ...Mafuta yaliyobaki ya nchi Zima ndio hayo yanaungulia...Kuna mhuni mmoja wa msoga ameshayapiga njiti
 
Kuna helicopter ya jeshi la nchi ya karibu imefanya blitz kwenye depot.

Ukraine [emoji1255].
 
Wahuni wanataka watengeneze scarcity.

Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake , They said
 
Back
Top Bottom