Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

ITV wameirusha wanasema ni maroli mawili yakusafirishia mafuta ndio yameungua
 
Mabomu ya Urusi yameanza kufika tukae tayari.
 
Hizi tanker nitasimulia baadae kilichotokea jana nilishinda nazo kumbe ndio ilikuwa mara ya mwisho kuziona
Kumbe tatizo lilianzia kwa hayo matanka kuwa karibu na wewe [emoji378].

Usisahau kuni-tag Mkuu.
 
Moto umeanza awamu ya tano, zigo natupiwa miye awamu ya sita
 
Mungu naye ana kusudi lake,wanadamu wanapanga mipango yao na Yeye anapanga ya kwake." Akimtafutia mtu kisa saa nyingine huanzia mbali."
 
Back
Top Bottom