Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

Tutake radhi mkuu,,,Sema Mtanzania Mimi huku unapiga kifua,usiseme SISI.
Watanzania wenzangu, Hawa watawala tunawachekea sana. Ukisoma comment nyingi zinaonyesha namna gani tulivyowapumbavu narudia tena watanzania sisi ni wapumbavu sana, tena mazuzu kabisa...Mambo ya msingi sana sisi ni kuyachekea chekea tu. Hawa watawala hasa chama tawala hakipaswi kuwa madarakani mpaka leo.

Mkitaka kuniua kwa comment yangu hii NIUENI ila huo ndiyo UKWELI.
 
Unapatikana maeneo gani mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabomu kutoka Urusi ndio yameanza kufika sasa hivi tuwe watulivu.
 
Back
Top Bottom