Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

Watanzania wenzangu, Hawa watawala tunawachekea sana. Ukisoma comment nyingi zinaonyesha namna gani tulivyowapumbavu narudia tena watanzania sisi ni wapumbavu sana, tena mazuzu kabisa...Mambo ya msingi sana sisi ni kuyachekea chekea tu. Hawa watawala hasa chama tawala hakipaswi kuwa madarakani mpaka leo.

Mkitaka kuniua kwa comment yangu hii NIUENI ila huo ndiyo UKWELI.
 
Watanzania hasa watu wa dar hawana uelewa yaani akili ya kufikiri

Bora huku nilipo saiz
 
Kuna uzi humu nilichangia mafuta yalipo anza tu kupanda bei nikasema mpaka mzee mama anaotoka madarakini ngoma itsfika 5000 na lweli dalili naziona kabisa
 
Naumeanza mudamref kidogo mbaka saizi badotu.

IMG_20220406_184217_615.JPG
 
Kuna Magari Mawili yalikuwa yamepaki karibu na Tanzania International petroleum Reserves(TIPER), inaonekana Betri zilipata hitilafu moto ukatokea. Hivyo magari yote mawili yakashika moto.

Ukiangalia kwa mbali moshi unaonekana upo TIPER, ila moto wala haujasogelea. Ile sehemu wanamwaga mafuta machafu ndo maana moshi ukawa Mkubwa.
 
Watanzania wenzangu, Hawa watawala tunawachekea sana. Ukisoma comment nyingi zinaonyesha namna gani tulivyowapumbavu narudia tena watanzania sisi ni wapumbavu sana, tena mazuzu kabisa...Mambo ya msingi sana sisi ni kuyachekea chekea tu. Hawa watawala hasa chama tawala hakipaswi kuwa madarakani mpaka leo.

Mkitaka kuniua kwa comment yangu hii NIUENI ila huo ndiyo UKWELI.
Uuawe wakati umejificha nyuma ya keyboard ? Jitokeze hadharani uanzishe movement kuonesha hisia zako
 
Kuna Magari Mawili yalikuwa yamepaki karibu na Tanzania International petroleum Reserves(TIPER), inaonekana Betri zilipata hitilafu moto ukatokea. Hivyo magari yote mawili yakashika moto.

Ukiangalia kwa mbali moshi unaonekana upo TIPER, ila moto wala haujasogelea. Ile sehemu wanamwaga mafuta machafu ndo maana moshi ukawa Mkubwa.
At least this is news though it is bad news. Kwanini magari 2 yawe na hitilafu halafu ya paki tiper?
Sheria za kwenye oil installation hatuzijui?
Kuna mkono wa mtu.
 
Back
Top Bottom