Kuna Magari Mawili yalikuwa yamepaki karibu na Tanzania International petroleum Reserves(TIPER), inaonekana Betri zilipata hitilafu moto ukatokea. Hivyo magari yote mawili yakashika moto.
Ukiangalia kwa mbali moshi unaonekana upo TIPER, ila moto wala haujasogelea. Ile sehemu wanamwaga mafuta machafu ndo maana moshi ukawa Mkubwa.
Duh...!.Kuna moshi mkubwa Kigamboni na inasemekana ni reserve ya mafuta inaungua.
Inatengenezwa scarcity?
Serikali badala ya kutatua changamoto zinazoitafuna inchi iko bze kutafuta visingizio vya kwa nini hali ya maisha ni mbaya na ngum sana kipindi hiki.Kuna moshi mkubwa Kigamboni na inasemekana ni reserve ya mafuta inaungua.
Inatengenezwa scarcity?
HujumaKuna moshi mkubwa Kigamboni na inasemekana ni reserve ya mafuta inaungua.
Inatengenezwa scarcity?
Bima itamlipa .Safi sana