Moderator naomba uzi huu usiunganishwe na ule wa speculation.. Kwakuwa hapa nitasimulia kilichotokea katika uhalisia wake! Kuna mafuta mazito ya kuendeshea mitambo yanaitwa IDO (INDUSTRIAL DIESEL OIL) Haya yanapatikana kwa njia mbali mbali lakini zilizo maarufu ni 1. Kuchuja oil chafu 2...