Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

Hivi ili Mtanzania aishi Maisha Mazuri ni lazima awe mpigaji!? Maana hao Watanzania wenye Maisha Mazuri ndiyo Wapigaji wakuu! Wengine wanatupiga hadi kwenye posho za vikao huko Serekalini!! Inaonekana Kama Maisha ya straight hayalipi, ndiyo maana ukitaka Maisha Mazuri lazima uwe mpigaji!!
Au uuze Madawa ya kulevya!!
 
Tunakosea sana kuwaza kwamba Raisi ajue mpaka yanayoendelea mtaani,wapo watendaji wa kata,wenyeviti wa mtaa,n.k,hawa kazi yao nn?...yaani tunawaza raisi awe anapita kila nyumba kukagua yanayofanyika humo??tutakua wajinga na wapumbavu siku zote kwa kuwaza hivyo
Mimi lawama zote nazielekeza kwa vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama! Wamekua na double standard katika kazi zao! Wao kutwa nzima kuvamia vibanda vya Gongo,lakina crime kubwa Kama hizo wanakua vipofu eti hawazioni kabisa!! Kumbe wameshapigwa na uchawi wa kizungu!!
 
Umewaza nje ya box saana. Ila mwizi shikamoo nimekukubali siyo wezi wetu wanang'ang"ania Tv huku street
Hao wa vi TV siyo wezi,hao ni wadokozi tu,na police ndiyo hapo kwa vidokozi ndiyo wanajifanya wanafanya kazi sana!!
 
Mimi lawama zote nazielekeza kwa vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama! Wamekua na double standard katika kazi zao! Wao kutwa nzima kuvamia vibanda vya Gongo,lakina crime kubwa Kama hizo wanakua vipofu eti hawazioni kabisa!! Kumbe wameshapigwa na uchawi wa kizungu!!
huyu jamaa kaishi miaka 2 pale, ina maana ni lazima alishirikiana na vigogo kutekeleza hilo - ule ni mtandao mkali mno, inahusisha idara nyingi sana kufanikisha wizi huo wa ma-Trillion ya fedha ingekuwa lelemama angedakwa mapemaa kabla hata hajaanza.

Kwanza sidhani kama jamaa bado yupo Kigamboni, nafikiri sasa hivi yuko zake mitaa ya Kongo ama Somalia... Badala ya kupambana na lina Lissu wasio na madhara yoyote - Mzee alitakiwa aelekeze vita yake na nguvu yake huku sasa !!
 
Polisi wakiongezewa mshahara na incentives mbalimbali mfano makaz bora ah niko na uhakika hakuna jambaz atakaye katiza .....polisi wana jua mishe naa wapiga mishe izo
Toshekeni na Mishahara yenu! Maandiko yanasema hivyo!!
 
huyu jamaa kaishi miaka 2 pale, ina maana ni lazima alishirikiana na vigogo kutekeleza hilo - ule ni mtandao mkali mno, inahusisha idara nyingi sana kufanikisha wizi huo wa ma-Trillion ya fedha ingekuwa lelemama angedakwa mapemaa kabla hata hajaanza.

Kwanza sidhani kama jamaa bado yupo Kigamboni, nafikiri sasa hivi yuko zake mitaa ya Kongo ama Somalia... Badala ya kupambana na lina Lissu wasio na madhara yoyote - Mzee alitakiwa aelekeze vita yake na nguvu yake huku sasa !!
Na ukitaka kujua huu ni mtandao mkubwa,hii issue nayo itapotea tu hewani na wala hatutajua mwisho wake,hiyo ndiyo imetoka ndukii!!
 
Shida ya mwendazake alikuwa anatuficha mno ili asichafuke
𝙺𝚠𝚊𝚓𝚒𝚌𝚑𝚘 𝚕𝚊𝚔𝚘 𝚕𝚊𝚔𝚒𝚗𝚒 𝚖𝚒𝚖𝚒 𝚗𝚊𝚘𝚗𝚊 𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚖𝚞𝚠𝚊𝚣𝚒 𝚖𝚗𝚘 𝚖𝚏𝚊𝚗𝚘 𝚔𝚊𝚝𝚒𝚔𝚊 𝚒𝚜𝚜𝚞𝚎 𝚢𝚊 𝙶𝚊𝚜 𝚗𝚊 𝙱𝚊𝚗𝚍𝚊𝚛𝚒 𝚢𝚊 𝙱𝚊𝚐𝚊𝚖𝚘𝚢𝚘 𝚜𝚒𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚔𝚒𝚔𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚁𝚊𝚒𝚜 𝚊𝚗𝚐𝚎𝚠𝚎𝚣𝚊 𝚔𝚞𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚔𝚠𝚊 𝚞𝚠𝚊𝚣𝚒 𝚔𝚒𝚊𝚜𝚒 𝚔𝚒𝚕𝚎.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguzeni chuki kwa marehemu.. Mumejazwa chuki dhidi yake kias cha kumchukia kwa kila kosa na makosa ambayo hausiki nayo..

Hapo mwendazake anahusika vipi? Mbona hata kipindi chake alishawahi kukamata watu kama hao na ndio hao mlikuwa mnalaumu kuwa anawabambikia kesi? Ndio haohao leo hii wanafunguliwa A/C zao na mnashangilia??

Lakn naamini Jpm sio bure, iko siku midomo na vidole hivi vinamuandika vibaya siku itafika vitakuja kuandika kulilia uwepo wake na midomo itakuja kutamka umuhimu wa uwepo wake.
Kifupi watu wanataka kuwa na Raisi ambaye atakuwa wa mteremko,sasa ngojea naye Samia akaze uone maneno atakayosemwa,kwani umeshasahau walivyokuwa wanampondea Kikwete?ilionekana hakuna Raisi katili kama yeye,leo hii Kikwete anaonekana malaika,nadhani hii ndio nature ya binadamu tusiwalaumu sana...
 
Yaaaan mwendazake aliwa fool wapumbavu na wajinga kwamba hakuna upigaji kumbe....kunaaa jamaa angu ni hawa wakula vitu aka unga..nmewahi kumuuliza mtapata wapi hiyooo ktu.. jamaaa alijibu hakunaaa kipindi unga unaingia kwa wingi kama zama hizi za mwendazake..
Hiyo mimba ya mwendazake utazaa lini?
 
Kosa lake ni kutuficha kila kitu. Ww ndani ya miaka mi5 uliwahi kusikia wizi? Unafikiri wiz haukuepo?
𝚆𝚒𝚣𝚒 𝚞𝚕𝚒𝚜𝚎𝚖𝚠𝚊 𝚊𝚝𝚊 𝙶𝚊𝚣𝚎𝚝𝚒 𝚕𝚊 𝚁𝚊𝚒𝚊 𝙼𝚠𝚎𝚖𝚊 𝚕𝚒𝚕𝚒𝚠𝚊𝚑𝚒 𝚔𝚞𝚊𝚗𝚒𝚔𝚊 𝚓𝚒𝚗𝚜𝚒 𝚖𝚊𝚏𝚞𝚝𝚊 𝚢𝚊𝚗𝚊𝚟𝚢𝚘𝚒𝚋𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚕𝚎 𝙱𝚊𝚗𝚍𝚊𝚛𝚒𝚗𝚒 𝚗𝚊 𝙼𝚊𝚐𝚞 𝚑𝚞𝚢𝚘 𝚊𝚔𝚊𝚕𝚒𝚜𝚒𝚏𝚞.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeona hiyo taarifa Jana kupitia kituo cha Chanel ten kwakweli inatisha!!!

kweli Jeshi letu la polisi wilaya zote za DSM tunawaomba wafanye kazi zao kwa uadilifu ili kubaini aina zote za uhalifu zinazo endelea ktk jiji hili la dsm.

Operesheni tokomeza uhalifu iendelee
 
Watu wataacha vipi hiyo michezo wakati wakishikwa adhabu yake ni ndogo tu, halafu tatizo ni kubwa lakini tunalipa attention ndogo sana.

Ulaya nishati ni agenda number moja ya national security; heh yaani we ukiivamia nchi yeyote ya ulaya mahala ambapo utakutana midege imejipanga inakusubiri na kila ya aina ya kombora linakusubiri ni kwenye storage zao za mafuta, vituo vya kuzalisha umeme, pipeline za mafuta na gas. Ukipiga ivyo vitu jeshi aliendi popote, nchi aizalishi chochote, chakula na bidhaa zingine aziendi popote ni umeshinda vita.

Yaani mtu kabisa anaweza fikia pipeline za mafuta Tanzania dah, tena mtu tu wakawaida aisee; nyie watu huo mchezo wa national security narudia tena ni wa vipanga you are not serious.

Mtu tu wa kawaida anawezaje fikia kitu sensitive kama icho kwenye maswala ya national security na ku tamper na miundombinu yake na wala umuoni waziri wa mambo ya ndani hapo au jeshi kuogopa tukio hilo.

Mjomba hilo swala nchi za wenzetu utafanywa mfano mtu mwingine asifikirie tena kujaribu.

Yaani we jua siku Tanzania ikiingia vitani sehemu ya kwanza adui anayoanza nayo ni hayo mafuta ya bandarini na bomba ya Kinyerezi sasa zalisha umeme wako wote sehemu moja uone shughuli yake ya kukutangwa itakavyokuwa rahisi. Utabaki na migari ya jeshi na ndege zisizoweza kwenda popote, narudia tena yaani mtu anachezea bomba la mafuta yanayoingia nchini aisee.
 
nimeona hiyo taarifa Jana kupitia kituo cha Chanel ten kwakweli inatisha!!!

kweli Jeshi letu la polisi wilaya zote za DSM tunawaomba wafanye kazi zao kwa uadilifu ili kubaini aina zote za uhalifu zinazo endelea ktk jiji hili la dsm.

Operesheni tokomeza uhalifu iendelee ktk maeneo yote ya jiji la dsm
 
𝙺𝚎𝚜𝚒 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚑𝚒𝚢𝚘 𝚑𝚞𝚠𝚎𝚣𝚒 𝚔𝚞𝚖𝚞𝚑𝚞𝚜𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚖𝚠𝚎𝚗𝚍𝚊𝚣𝚊𝚔𝚎 𝚣𝚊𝚒𝚍𝚒 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚊𝚗𝚐𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚠𝚎𝚙𝚘 𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚗𝚐𝚎𝚎𝚗𝚍𝚊 𝚓𝚎𝚛𝚊 𝚖𝚊𝚕𝚒 𝚣𝚊𝚘 𝚔𝚝𝚊𝚒𝚏𝚒𝚜𝚑𝚠𝚊 𝚗𝚊 𝚊𝚌𝚌𝚘𝚞𝚗𝚝 𝚣𝚊𝚘 𝚔𝚞𝚏𝚞𝚗𝚐𝚒𝚠𝚊 𝚝𝚑𝚎𝚗 𝚊𝚗𝚐𝚎𝚔𝚞𝚓𝚊 𝙼𝙰𝙼𝙰 𝚑𝚞𝚛𝚞𝚖𝚊 𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚊𝚖𝚞𝚛𝚞 𝙰/𝙲 𝚉𝚒𝚏𝚞𝚗𝚐𝚞𝚕𝚒𝚠𝚎 𝚗𝚊 𝚔𝚎𝚜𝚒 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚑𝚒𝚢𝚘 𝚒𝚔𝚊𝚓𝚞𝚖𝚞𝚒𝚜𝚑𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚗𝚒 𝚔𝚎𝚜𝚒 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚋𝚊𝚖𝚋𝚒𝚔𝚒𝚣𝚠𝚊 𝚔𝚊𝚝𝚒𝚔𝚊 𝚣𝚒𝚕𝚎 147. 𝚒𝚗𝚐𝚎𝚜𝚘𝚖𝚊 148.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sukuma wahaa
 
Back
Top Bottom