jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Au uuze Madawa ya kulevya!!Hivi ili Mtanzania aishi Maisha Mazuri ni lazima awe mpigaji!? Maana hao Watanzania wenye Maisha Mazuri ndiyo Wapigaji wakuu! Wengine wanatupiga hadi kwenye posho za vikao huko Serekalini!! Inaonekana Kama Maisha ya straight hayalipi, ndiyo maana ukitaka Maisha Mazuri lazima uwe mpigaji!!