Au uuze Madawa ya kulevya!!Hivi ili Mtanzania aishi Maisha Mazuri ni lazima awe mpigaji!? Maana hao Watanzania wenye Maisha Mazuri ndiyo Wapigaji wakuu! Wengine wanatupiga hadi kwenye posho za vikao huko Serekalini!! Inaonekana Kama Maisha ya straight hayalipi, ndiyo maana ukitaka Maisha Mazuri lazima uwe mpigaji!!
Mimi lawama zote nazielekeza kwa vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama! Wamekua na double standard katika kazi zao! Wao kutwa nzima kuvamia vibanda vya Gongo,lakina crime kubwa Kama hizo wanakua vipofu eti hawazioni kabisa!! Kumbe wameshapigwa na uchawi wa kizungu!!Tunakosea sana kuwaza kwamba Raisi ajue mpaka yanayoendelea mtaani,wapo watendaji wa kata,wenyeviti wa mtaa,n.k,hawa kazi yao nn?...yaani tunawaza raisi awe anapita kila nyumba kukagua yanayofanyika humo??tutakua wajinga na wapumbavu siku zote kwa kuwaza hivyo
Hao wa vi TV siyo wezi,hao ni wadokozi tu,na police ndiyo hapo kwa vidokozi ndiyo wanajifanya wanafanya kazi sana!!Umewaza nje ya box saana. Ila mwizi shikamoo nimekukubali siyo wezi wetu wanang'ang"ania Tv huku street
huyu jamaa kaishi miaka 2 pale, ina maana ni lazima alishirikiana na vigogo kutekeleza hilo - ule ni mtandao mkali mno, inahusisha idara nyingi sana kufanikisha wizi huo wa ma-Trillion ya fedha ingekuwa lelemama angedakwa mapemaa kabla hata hajaanza.Mimi lawama zote nazielekeza kwa vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama! Wamekua na double standard katika kazi zao! Wao kutwa nzima kuvamia vibanda vya Gongo,lakina crime kubwa Kama hizo wanakua vipofu eti hawazioni kabisa!! Kumbe wameshapigwa na uchawi wa kizungu!!
Toshekeni na Mishahara yenu! Maandiko yanasema hivyo!!Polisi wakiongezewa mshahara na incentives mbalimbali mfano makaz bora ah niko na uhakika hakuna jambaz atakaye katiza .....polisi wana jua mishe naa wapiga mishe izo
Na ukitaka kujua huu ni mtandao mkubwa,hii issue nayo itapotea tu hewani na wala hatutajua mwisho wake,hiyo ndiyo imetoka ndukii!!huyu jamaa kaishi miaka 2 pale, ina maana ni lazima alishirikiana na vigogo kutekeleza hilo - ule ni mtandao mkali mno, inahusisha idara nyingi sana kufanikisha wizi huo wa ma-Trillion ya fedha ingekuwa lelemama angedakwa mapemaa kabla hata hajaanza.
Kwanza sidhani kama jamaa bado yupo Kigamboni, nafikiri sasa hivi yuko zake mitaa ya Kongo ama Somalia... Badala ya kupambana na lina Lissu wasio na madhara yoyote - Mzee alitakiwa aelekeze vita yake na nguvu yake huku sasa !!
πΊπ ππππππ ππππ ππππππ ππππ πππππ ππππππ π πππ ππ£π πππ πππππ ππππππ πππππ π’π πΆππ ππ π±ππππππ π’π π±ππππππ’π ππππ ππππππ ππππ ππππ ππππ πππππ ππ£π ππππππ ππ π ππ ππ£π πππππ ππππ.Shida ya mwendazake alikuwa anatuficha mno ili asichafuke
Ndio hapo sasa.Yamejulikana baada ya Mambosasa kuondolewa kanda maalum.
Kifupi watu wanataka kuwa na Raisi ambaye atakuwa wa mteremko,sasa ngojea naye Samia akaze uone maneno atakayosemwa,kwani umeshasahau walivyokuwa wanampondea Kikwete?ilionekana hakuna Raisi katili kama yeye,leo hii Kikwete anaonekana malaika,nadhani hii ndio nature ya binadamu tusiwalaumu sana...Punguzeni chuki kwa marehemu.. Mumejazwa chuki dhidi yake kias cha kumchukia kwa kila kosa na makosa ambayo hausiki nayo..
Hapo mwendazake anahusika vipi? Mbona hata kipindi chake alishawahi kukamata watu kama hao na ndio hao mlikuwa mnalaumu kuwa anawabambikia kesi? Ndio haohao leo hii wanafunguliwa A/C zao na mnashangilia??
Lakn naamini Jpm sio bure, iko siku midomo na vidole hivi vinamuandika vibaya siku itafika vitakuja kuandika kulilia uwepo wake na midomo itakuja kutamka umuhimu wa uwepo wake.
Hiyo mimba ya mwendazake utazaa lini?Yaaaan mwendazake aliwa fool wapumbavu na wajinga kwamba hakuna upigaji kumbe....kunaaa jamaa angu ni hawa wakula vitu aka unga..nmewahi kumuuliza mtapata wapi hiyooo ktu.. jamaaa alijibu hakunaaa kipindi unga unaingia kwa wingi kama zama hizi za mwendazake..
πππ£π πππππππ π πππ πΆππ£πππ ππ ππππ πΌπ πππ πππππ πππ πππππππ πππππ ππππππ π’πππππ’ππππ π ππππ π±ππππππππ ππ πΌπππ πππ’π πππππππππ.Kosa lake ni kutuficha kila kitu. Ww ndani ya miaka mi5 uliwahi kusikia wizi? Unafikiri wiz haukuepo?
kama north korea tuMfano angekuwepo hata hili saga angelificha lisijulikane !! wangelimaliza kimya kimya - hakupenda watu wajue kinachoendelea nchini.
Sukuma wahaaπΊπππ ππππ πππ’π πππ ππ£π πππππππππππ ππ πππππ£πππ π£ππππ ππππ πππππππππ πππ ππ π ππππππππ ππππ ππππ π£ππ πππππππππ π ππ πππππππ π£ππ ππππππππ π ππππ ππππππππ πΌπ°πΌπ° ππππππ ππ πππππππ π°/π² ππππππππππ π ππ ππππ ππππ πππ’π πππππππππππ π πππ π ππ ππππ π’π ππππππππππ£π π ππππππ π£πππ 147. ππππππππ 148.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa jina lako nimeielewa comment yakoHii kitu unawezaje fanya bila kugundulika wakati kuna walinzi madereva etc wanapishana kila siku?