Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

mwaka juzi kuna mmoja ukouko Kigamboni alidakwa kwa kesi hii hii, sijui iliishia wapi
 
Kilikuwa kipindi kizuri Sana cha upigaji, no wapinzani, no waandishi no watu kufichua. Kulikuwa ni kuogopana kila mtu alikuwa TISS au ndugu wa mkulu..

Saizi upigaji utakuwa kidogo au kwa akili maana kufichuana kutakuwa waziwazi
Jambo la kushangaza hata ukiandika hapa JF sababu huna source unakula ban na mada inafutwa,kisa wanamwogopa mwendazake.
 
Kwa nini sasa kama aliowatuhumu Mwendazake wana hatia hwajahukumiwa mpaka leo?

Hizi issues mbili ziko tofauti. Huyu amekutwa anahujumu, vyombo vinafanya uchunguzi na ikionekana kuna ushahidi wa kutosha watafikishwa Mahakamani.

Mwendazake aliwatuhuhumu watu na kuwafungulia mashtaka bila ushahidi. Ndiyo maana kesi ziko Mahakamani hazihukumiwi kwa kukosa ushahidi.

Ila Watanzania wanamshabikia Mwendazake kwa kuwa kawaahtaki matajiri as if wakifilisiwa ule utajiri wao utahamia kwao
 
Wamegeukana na huu mtandao unaweza kuhusisha wakubwa kuanzia serikalini mpaka Polisi.
 
Mkuu kama wamenyonya lets lita 20,000 kwa siku, je kwa miaka 2 ni bei gani jumla - hapo ndipo utajua huu ni mtandao si wa kawaida!!

Yaani ukishatoboa bomba la mafuta tu basi linkage yake lazima isome kwenye computer immediately... sasa jiulize hapo..
 
Kabisa
 
Hao ndo MATAGA mkuu.

Tembeeni vifua mberee.. Nchi hii iriibiwa sanaa.
Pffffff!!!
acha waseme, lisemwalo lipo kama halipo linakuja aya wizi Kama huu hata shetani ataukataa kwamba haupo kwenye maelekezo yake.
 
Hii haijakaa vizuri. Hayo mabomba walichimbaje?

Amandla...
 
Huo ni ujambazi siyo wizi wa serikalini. Huyu siku zake zilikuwa zinahesabiwa tu, angekamatwa. El-Chapo alikamwata itakuwa huyu
Hahahhaha Kwani classmate anasemaje!!? Maana tuliambiwa wizi na ufisadi uliisha kabisa.
 
Sasa Magufuli anahusikaje hapo. Hao si wezi Kama wezi wengine au kosa lake ni kule kupiga vita wizi kwa maslahi ya taifa. Lazima tukubali alijitahidi kwa uwezo wake ila haizuii ukweli kwamba kuna wachache walikuwepo bado ambao mmoja wapo ni hawa
Sasa Magufuli anahusikaje hapo. Hao si wezi Kama wezi wengine au kosa lake ni kule kupiga vita wizi kwa maslahi ya taifa. Lazima tukubali alijitahidi kwa uwezo wake ila haizuii ukweli kwamba kuna wachache walikuwepo bado ambao mmoja wapo ni hawa
Hawa huenda ndo waliharibu flow meter zisisome wakati wote wa JK.
ina maana Magufuli alipo wabaini wakatafuta njia nyingine ya kuiba kumuonyesha wao siyo wa kuchezea.
Swali ilikuwaje wakimbie wote? Wakati polisi wanao utaalamu wa kukamata wahalifu? Isiche kuwa walipewa kitu kidogo wakawaachia.
Hata hivyo hayo magari yana usajili kutowakamata waliko ni kupenda tu.
kuna watu wazito tena wahujumu uchumi.
 
tunaomba kamati ya ulinzi ya Mkoa wa DSM ikishirikiana na wilaya ya Kigamboni ishirikiane kufuatilia wizi huu wa kimafia amabao una mtandao mkubwa.

Jeshi la polisi Mkoa wa DSM wapeleleze kwa kina wizi huu na tuone hatua kali zinavhukuliwa kwa wahusika wote ikiwa ni pamoja na kutaifisha mali zote za muhusika au wahusika.
 
Na ukitaka kujua huu ni mtandao mkubwa,hii issue nayo itapotea tu hewani na wala hatutajua mwisho wake,hiyo ndiyo imetoka ndukii!!
kama ile heroin ya wapakistan ya majuzi, naona ianpotea hewani kimya kimya...!
 
Sukuma Gang tena wamekamatwa. Kila siku wanahadaa wanyonge kumbe wanajua wanachofanya. Hivi wala Tisss waliopenyezwa kila mahali hawakuona hili?
 
Jeshi la mkoa wapeleleze?? hii ni organised crime lazima kuna mkono wao.
 
Nchi hii Tithi wametusaliti muda mrefu sana
 
Sukuma Gang mmetudanganya sana. Hayo maboma na mamachine hayajakwa kipindi cha Mama miezi miwili hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…