Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

Nchi ilitafunwa na watafunaji wakafichwa ila sio na serikali. Wafichuaji walizibwa midomo. Inasikitisha sana
Na sioni namnai itakavyokoma "kuendelea kutafunwa"; maana sioni juhudi zinazofanywa iache kuendelea kutafunwa, badala yake mazingira yanazidi kurahisishwa itafunwe kirahisi zaidi.
 
Sasa Magufuli anahusikaje hapo. Hao si wezi Kama wezi wengine au kosa lake ni kule kupiga vita wizi kwa maslahi ya taifa. Lazima tukubali alijitahidi kwa uwezo wake ila haizuii ukweli kwamba kuna wachache walikuwepo bado ambao mmoja wapo ni hawa
Lawama kwa Magufuli ni alitumia polisi usalama na jwtz kuthibiti wapinzani abaki madarakani huku wahujumi uchumi na wezi walifanya yao.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Na huyu mmiliki lazima atakua mwana CCM, trust me. Mijizi mingi inajificha CCM na kujiona ni Wazalendo kuliko sisi wengine
 
Hii kitu unawezaje fanya bila kugundulika wakati kuna walinzi madereva etc wanapishana kila siku?
Ninakuhakikishia, hao walinzi na madereva, hakuna hata mmoja ambaye umbo lake linaonyesha kuwa ni mtu mwenye njaa. Wewe chunguza tu utauona ukweli huo.
 
Mkuu kwa kigambon Kuna mengi sana yanaendelea huko hili mbona ndogo Sana tukisema tumwage mboga hapa wengne kesho tu tutaitwa marehemu kutokana na mfumo wa nchi yetu kutokulinda watoa Siri
Yah!naelewa msije mkaletea zengwe max πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi huko hayo mambo yanafanyika sana

Ova
 
Na huyu mmiliki lazima atakua mwana CCM, trust me. Mijizi mingi inajiicha CCM na kujiona ni Wazalendo kuliko sisi wengine

Lakini huyo mwizi kaumiza akili sio kitoto, alitumia sahihi ule usemi wa ugumu wa maisha ndo kipimo cha akili.

Vyuma vikaze tena tupate akili za hivyo.
Kaumiza akili gani hapo!

Kwani huu ni ubunifu mpya?

Miaka mitano iliyopita hapo jirani tunapokwenda kuiga kila kitu walifanya hivi hivi. Na si ajabu hawa jamaa wamewaleta wakenya kama 'consultant' wao kwenye mradi huu!
 

Yaani najua walichofanya hawa jamaa ni wizi wa kuhujumu uctumi, lakini dah jamaa wametumia akili kweli na the whole project ilipangwa vizuri sana na kwa kutumia ubongo. Nina wasiwasi hawa jamaa group lao ni kubwa mno na lina link na majambazi kutoka nchi za nje.
 
Aiseee
 
Kaumiza akili gani hapo!

Kwani huu ni ubunifu mpya?

Miaka mitano iliyopita hapo jirani tunapokwenda kuiga kila kitu walifanya hivi hivi. Na si ajabu hawa jamaa wamewaleta wakenya kama 'consultant' wao kwenye mradi huu!
Na wewe mbona aukuiga mkuu?

Wewe mbona hakuwaza kuwaleta hao consultants wa Kenya upige hizo hela.
 
Hao jamaa mmoja wenye uho mradi ni mtoto wa Rafiki wa Mwendazake,,ningemtaja jina ila haifai
 
Hata mwenyewe Magu alikuwa mpigaji, mbona Watanzania mu wasahaulifu? Zikowapi Tsh 2.4 Trilion alizohoji Prof Assad mpaka akapoteza kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…