TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Kukamatwa swala moja,na kupelekwa gerezani ni swala lingine.Je mlishamkamata aliyempga Lisu bomba?😂😂😂Wahusika wote wakamatwe, akiwemo mmiliki wa hiyo nyumba na wenye hayo malori kama yanavyoonekana hapo kampuni ya LAKE OIL.
Hakuna kitu Kama hicho mwaka juz nimepoteza rafiki wa karibu kwa mazngira haya ya kureport taarifa nyet Sana pccb matokeo yake mean kauwawa kinyama SanaMkuu, tafuta anonymous method ureport izo taarifa huo ndio ulinzi wa taifa letu, trust me wapo waliopewa dhamana na ni watiifu sana
Hakamatwi mtu pale, kwa mazingira pale yalivyoHawa wezi ,Basi wakamatwe kwanza mali zao zote zitaifishwe, pili walipe pesa ya lita 60 kila siku KWA miaka miwili na nusu the wapewe cheti Cha wezi bora Tz ,wasifungwe
Pole sana...duhHakuna kitu Kama hicho mwaka juz nimepoteza rafiki wa karibu kwa mazngira haya ya kureport taarifa nyet Sana pccb matokeo yake mean kauwawa kinyama Sana
Tupo tunaoipenda nchi yetu lakn UHAI naupenda Zaid mkuu
Jichunge sana, lawama na laana ya waTanzania maskini wa nchi hii mnaowadhurumu haki zao zisiwatafune mungali hai na huko mtakakoishia jehenamu..Hahaha sawa mkuu kalamu1 baki na akili zako tuache sisi vilaza tuangalie jinsi ya kuishi hapa mjini
Ikitokea kama unavyotabiri, nitashangaa sana tunapoelekea nchi hii.Hakamatwi mtu pale, kwa mazingira pale yalivyo
Inaonesha mhusika ni mtu mzito sana
Ova
Huyu inaelekea michongo hiyo kaanza kufanya muda sana ,hajaanza jana wala juziIkitokea kama unavyotabiri, nitashangaa sana tunapoelekea nchi hii.
Ikiwa hivyo, hakika hatutapona.
Awe mzito gani huyo, Kikwete mwenyewe?
ebu pita hivi..Jichunge sana, lawama na laana ya waTanzania maskini wa nchi hii mnaowadhurumu haki zao zisiwatafune mungali hai na huko mtakakoishia jehenamu..
Asante mkuu hyo ishu ya hapo ungindoni ilikuwa inajulikana mda sna mkuu sema nadhan wameharibiana wenyewe wakubwaPole sana...duh
Haya mambo ya kujifanya mzalendo wakati mwingine yanaweza kukugeukia
Ova
Kama unajihusisha na dhuruma kwa waTanzania, hutabaki salama mkuu, huo ndio ukweli wenyewe.ebu pita hivi..
unaaanza kuongea habari za laana sahivi. nini shida? maisha magumu au stress tu?
Kwa jinsi mazingira yalivyo issue pale imekuwa ikipigwa kitambo sanaAsante mkuu hyo ishu ya hapo ungindoni ilikuwa inajulikana mda sna mkuu sema nadhan wameharibiana wenyewe wakubwa
DAB anajua mchongo mzma na ndio waliokuwa wakimweka mjin na alilifumbia macho
Ukienda pale ungindon uliza vijana watakupa mkanda mzma
Acha kupotosha watu, wale waliokamatwa wakifanya mchezo huo maeneo ya kurasini walihukumiwa jela au kulipa faini na wakalipa wakatoka, sasa suala la kumfungulia mtu a/c zake linahusika vipi hapa?mtu kama akitiwa hatiani adhibiwe tena jela na sio hiyo biashara ya plea bargain, mliyoanzisha.Uzuri wa awamu hii mambo yako hadharani, kwenye vyombo vya habari, watu wanaona, hapo sasa MATAGA, ndio unawasikia daaaa, yaani mala hii tu upigaji umeanza tena baada ya meko kufariki, ili mama aonekane dhaifu!!kumbe hayo mambo yalikuwepo tu sema yalifichwa ili ionekane aliyadhibiti!!!acheni hizo, kwa kipi alichokifanya cha ajabu??Punguzeni chuki kwa marehemu.. Mumejazwa chuki dhidi yake kias cha kumchukia kwa kila kosa na makosa ambayo hausiki nayo..
Hapo mwendazake anahusika vipi? Mbona hata kipindi chake alishawahi kukamata watu kama hao na ndio hao mlikuwa mnalaumu kuwa anawabambikia kesi? Ndio haohao leo hii wanafunguliwa A/C zao na mnashangilia??
Lakn naamini Jpm sio bure, iko siku midomo na vidole hivi vinamuandika vibaya siku itafika vitakuja kuandika kulilia uwepo wake na midomo itakuja kutamka umuhimu wa uwepo wake.
Lakiiini, mkuu 'mrangi' kuna kitu bado sikielewi jinsi hili jambo lilivyojitokeza.Kwa jinsi mazingira yalivyo issue pale imekuwa ikipigwa kitambo sana
Kuna matukio mengi watu wanayaona ukisema uyalete humu au unreported sana sana utageuziwa kibao wewe au kuingia matatani
Ova
Mtaje JF is a free world.Hao jamaa mmoja wenye uho mradi ni mtoto wa Rafiki wa Mwendazake,,ningemtaja jina ila haifai
Siyo kwamba wapo nyuma ni rushwa tu.Hii hamishahamisha ya mapolisi leo huyu ni Rpc Mara kesho kapandishwa mwingine akaletwa tuombe iwe ya kutokomeza huu uhuni na siyo kuuficha.Kweli bado tuko nyuma sana au ndio njia za kupumbaza watu
Hapo kabla ya kuingia hapo ilikuwa waweke makachero na kupiga picha za kurekodi mienendo yote na ni nani anaingia na kutoka
Wangefanikisha kumdaka Boss mwenyewe kiulaini ila sasa kufanya hivyo maana yake ni kumwambia Boss kimbia kimeumana
Nionavyo hapa hakuna kitu watakamatwa walinzi na mwenye nyumba tu
Labda wawe na njia zingine za kumuwinda huyo Don
It’s amazing jinsi ili swala linavyochukuliwa Tanzania. Sio U.S tu kitu kama icho kikitokea U.K. waziri mkuu anaita COBRA meeting kukutana na wakuu wa vyombo vya ulinzi how was that possible.Mimi nimeshangaa pia ili swala limeongozwa na DC bila shaka huu mchezo uko Known, Bongo tuancheza sana aisee juzi kuna pipeline fulani zilikuwa hacked kule US kwenye states fulani, na hio state ika declare state of Emergency, Sisi hatuna attention na nishati soma hata National policy ya nishati utajiona, tunasahau bila nishati hata ulinzi hauwezekaniki
Uenda mpaka kwenye chama tawala piaWamegeukana na huu mtandao unaweza kuhusisha wakubwa kuanzia serikalini mpaka Polisi.