Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

Kaangalie sheria zao usiwe mfuata mkumbo ?

Sipendi kubishana na mtu hajui kitu.!
Sheria zao zimefanyaje? Kwa nini hamkimbilii kuishi nchi za Kiislam kama hizo sheria za Kiislam ni nzuri kama mnavyo zisifia hapa?

Sijawahi kuona muislam mwenye ndoto za kuishi Yemen, Pakistan, Iran wala Afghanistan kwenye sheria za Alah.

Wote nyie mnakimbilia kwenye Christian Majority countries za Ulaya na Marekani.

Wanafiki sana nyie jamaa.
 
Aliyeelewa hapa anisaidie, nimetoka kapa!.
 
Kumbe unavyo ona wewe. Sasa tuletee Uislamu na Waislamu wanamzungumzia vipi "Sheikh".

Hivi Wakristo kwanini sio watu wa kusoma na kufatilia mambo ? Hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kumuamuru jini. Haya nyinyi mmeyapata wapi ?

Yaani Wakristo ndio maana wepesi sana kupelekwa pelekwa na viongozi wenu yaani wajinga sana.

Umeshupaza shingo hapa unaandika ujinga ambao ukiombwa utoe ushahidi unashindwa.
 
Usijitoe ufahamu kijana wa hovyo....kashfa Kama hizi Ni laana kwako,maana uislam Ni dini ya Amani na upendo na hatufundishwi kukashifu Imani za watu Kama wewe.....sheikh inasimama Mara mbili Kuna sheikh mtu aliyefikia umri mkubwa,pili sheikh msomi wa elimu ya dini...uSifikirie unakuwa sheikh kiulani lazima usome uelimike na masomo ya dini ya kiislamu Ni magumu sio mchezo...elimu ya dini ya kiislamu Ina ngazi zote mpaka PhD usilete dharau kabisa.

Vyuo mashuhuri na vikongwe duniani Ni vya kiislam Kama Azhar shariff,University of Sudan,University of Madina n.k
Sheikh anaweza kuwa na elimu ya Digrii,Masters,Mpaka phd kutokana na muda aliosoma.
 
Umesahau mtoa mada ndio kaanzisha kejeli mkuu?
 
Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo.

Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe. Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini tu?
Ukihifadhi Quran nzima na kuijuwa tafsiri yake na pia kuhifadhi hadithi nyingi za Mtume Muhamad Rehema za Mungu ziwe ju yake pamoja na amani wewe unaweza kuitwa Sheikh. Nahuwezi kuhifadhi Quran na kuhifadhi hadithi za bwana mtume Muhammad Reheza Mungu ziwe juu yake pamoja na amani pasipo kwenda vyuo vya dini ya kiislam kama hapo Tanzania chuo kipo cha dini ya kiislam au uende misri au uende madina nchini Saud Arabia ukirudi huko kusoma katika vyuo unaweza kuitwa Sheikh .
Vyuo mashuhuri na vikongwe duniani Ni vya kiislam Kama Azhar shariff,University of Sudan,University of Madina n.k
Sheikh anaweza kuwa na elimu ya Digrii,Masters,Mpaka phd kutokana na muda aliosoma
 
Akili kubwa
 
Mtu mweusi anaendeshwa na tumbo, ukiona mtu anaongea ujue maslahi yake yameguswa. Sasa hivi hatuwasikii Bakwata sababu imani yao inawafunza mwislamu yeyote duniani ni ndugu yake kwahiyo hawawezi kuwapinga DP.

TEC nao wanahaha sababu waislamu wakishika bandari maslahi yao yataguswa.



Noted...!
 
Hapo kwenye muislam ndugu yake muislam napapenda sana
 
Kuna jamaa hapa Magomeni baba yake alitoa eneo la kujenga msikiti. Kwahiyo yeye anapata mgao wa mapato ya msikiti. Hapa anaitwa Shekhe
Kumbe masjid Zina mapato? Yanatokana na Nini ilhali waislamu hawatoi swadakah?
 
Hapo kwenye muislam ndugu yake muislam napapenda sana
Lakini ajabu ni kwamba wote mnakimbilia kuishi nchi zilizostaarabika. Yaani hutaki kwenda kuishi kwa ndugu yako Yemen, unakimbilia kuishi kwa WASTAARABU ulaya na marekani. Tuache unafiki jamani.
 
Huo uindeoendent ni wa wapi hupo nnachojua huwa mnasubiri watu wenu wa Bakatwa ndo wawatangazie sikukuu ilihali dunia nzima unakuta zishatangaziwa kabla ? Au uislamu wa Tanzania u special ukilinganisha na wa nchi nyinginezo ?
 
Wakristo mara nyingi wamekuwa wakijifanya wasomi.

Wanaenda mbali zaidi kwa kuwadharau waislamu kwamba ni 'wazee wa mdarasa' hawana elimu.

Cha ajabu usomi wao upo mdomoni tu huku nchi ikizidi kufubaa na wao wasomi wakiangalia tu.
TEC ni wakristo na hawajaacha nchi iendelee kufubaa, au huna habari?
 

Hapana huwezi kuhimiza usicho kifahamu
Mfano: Huwezi imiza watu watumie kondom wakati hujui ina kazi gani au hutumii kabisa
Mle ndani si elimu ya falsafa tu, kuna mandaktari wa afya, kuna walimu wa kada mbali mbali, wako masister wenye taaluma mpaka za uhasibu.

Ndio maana ni miongoni mwa watu wa kwanza kuanzisha mashule, hospitals nchini.
Unaanziahaje taasisi kama hizo wkt ww mwenyewe kichwani ni empty? Si utazalisha failure?
 
Hili linawezekana, waulize au wafatilie wote wanao himiza kondom wanazifahamu ? Wengine wamesikia tu juu juu umuhimu wa kondom, ila haimaanishi wanazifahamu.

Sasa swali kuwa na elimu hizo ndio zinamfanya vipi mtu kuwa makini ? Lakini kuwa na elimu hizo za ualimu, uhasibu, zinamfanya vipi mtu kuwa msomi wa dini ? Au kwenu nyinyi elimu ya dini mnachukuliaje ?
 
Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo.

Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe. Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini tu?
Sheikh ni mtu alie somea masomo ya dini tu
 
Huo uindeoendent ni wa wapi hupo nnachojua huwa mnasubiri watu wenu wa Bakatwa ndo wawatangazie sikukuu ilihali dunia nzima unakuta zishatangaziwa kabla ? Au uislamu wa Tanzania u special ukilinganisha na wa nchi nyinginezo ?
Kaulize waislamu wote kama wanaitambua BAKWATA?

Usiwe kolo na maneno ya kupumbaa uislamu hauendeshwi na matamko kama vikundi vya ngoma.
 
Wewe elimu yako hiyo inatusaidia nini sisi ambao hatuna elimu hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…