Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

Huyu kigogo ni mpuuzi Fulani hivi anaejiona yeye ndie anajua kila kitu na ndio yeye yupo always right, nilimshtukia muda tu kidogo nyuma na ndipo nikampuuza
 
Nilimu unfollow kabisa, jamaa anatukana sana, mwanzo nilimuona mtu wa maana. Hivi sasa nikitaka taarifa za upinzani nime wa follow kina lissu wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa nilijua atakua ni snitch tu tokea mwanzoni ingawa binafsi nikajisemea nisiwe judgemental-Nijipe muda,lakin uhalisia ni kwamba haaminiki-Kwa mtu mwenye akili timamu ukiangalia purukushani zake dhidi ya Mo mwanzoni kwamba anaidalalia simba and other issues and now anavyomsifia utaelewa ni mtu anayekuwa influenced na pesa kuuza wengine.CDM ni lazima wawe macho kweli kweli na until now thanks wamekuwa macho.
 
Kigogo ni wa hovyo sana. Yeye kila anayepita mbele yake anamshushia matusi tu, yani ana ujuaji mwingi mno mpaka anaboa. Na CDM lazima amewauza yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wa Kigogo umekaribia, sasa atakuwa anasubiri matukio tu yampandishe chati, ameanza kupoteza support aliyokuwa nayo mwanzo kwa haraka sana.
Kwa hiyo wana Chadema ndio walio mpandisha juu kwa haraka Kigogo?
 

Walishindwa kuelewena watoto mapacha sembuse mimi na wewe neema.

Tofauti za mawazo huwepo. Wote chigogo na Lissu ni muhimu kwetu. Wote tunawahitaji. Concern za wote ni nyeti kama ambavyo mchango wao ni nyeti.

Ndugu wawili wakigombana chuki Jembe ukalime!
 
Sasa Lisu na kigogo Wana tofauti gani? Mmja kajificha kwenye key board mwingine kapakatwa na mumewe Ulaya wote ni wanamgambo wa twitter
 
Mmh!

Leo kigogo amekuwa MPUMBAVU kisa kamwambia ukweli mtu wenu mnayem overrate.

Tufikie hatua ukiambiwa ukweli tujisahihishi sio anayekuambia ukweli labda ana CHUKI na wewe.

Kigogo yupo sahihi.
Nenda kaolewe naye!
 
Kwa hiyo ulitaka mbowe apinge maamuzi kamati kuu ya chama chake?

Je ni halali kumtengenezea mpinzani mashitaka ya kubambika kwa kudai katiba mpya
 
Wakati anamtukana jpm mlimwona mtu wa maana sana.

Tukawaambia huyo ni mbuzi kichaa tu wa maslahi yake,mkabisha sana,haaya pambaneni.
 
Siasa wewe haikuhusu kumbe? Tozo wewe aukatwi? Watoto wako hawakatwi tozo za kihuni?

Mama yako na babako na ndugu zako hawakatwi tozo za kihuni?

Kama hawakatwi basi upo sahihi!!
Sijaona mtu wakulipambania Taifa hili
Nyote CCM &CDM nyote ni wahuni,wanafiki na mnaojali kupigania matumbo yenu
bora hata huyu ccm yeye anatafuna kuliko ninyi mkipewa mtatumeza kabisa😂😂😂
Unategemea Kigogo atafanya nini
mbowe sijui TL atafanya nn?
Njaa ni mbaya sana tena sana
 
Lissu na kigogo mbona wote hawajitambui wanafanya nn.Acha kutupotezea muda.
 
Sasa yeye kwanini wanaotoa maoni tofauti na yeye anawablock?

Yule ana stress za maisha tu na hana pesa mfukoni ndio maana anaangaika.

Na wewe ukisema hukosei bado tupo pale pale kwenye uhuru wa kutoa maoni
 
CDM acheni utoto.....leo tena kigogo amekuwa adui yenu....NCHI HAIWEZI KUONGOZWA KWA MATAKWA YA CDM....JPM ameongoza kitemi kipindi cha miaka zaidi ya 5 mlikuwa mnalialia kama ndege hapa wamekuja waungwana kiungwana mnajifanya wababe...tumieni akili muache utoto..
 
Kigwa
Kigogo
Hilda
Madenge
Hawa ukiwachukulia kama comedians wa mtandaoni huko twitter hupati tabu
 
Ni mhehe + mnyakyusa
Mtu mwenye stress zilizopitiliza
Aliyetemwa na mfumo ambao alikuwa anakula wakamlamba vidole
 
Kwa hiyo ulitaka mbowe apinge maamuzi kamati kuu ya chama chake?

Je ni halali kumtengenezea mpinzani mashitaka ya kubambika kwa kudai katiba mpya
Mkuu tumia akili wewe unapambana na dola yet unajipeleka kwenye mitego then umedakwa uko ndani hamna kinachoendelea badala ya kuwa smart kukwepa mitego unaendelea kulaumu kwa kutumia njia zile zile zilizo feli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…