Kigogo wa Madawa ya Kulevya (Daudi Kanyau) akamatwa Dar. Mali zake zashikiliwa...

Haramu inapohalalishwa Huruma nyingi sana hufanywa tuwatazame sana hawa wafadhili wetu
 
Basi nikisikia habari ya Kigogo navuta hisia ni kama El chapo kumbe dagaa tu hawa ,ama kweli nimeamini sio kazi rahisi kudeal na ma sonko wa hizi deal za unga ndio maana mkwere aliishia kusema ana majina tu
 
Kelele wewe, inaonyesha ni punda wa Daud,kesha kuharibu kinyeo hicho inaonyesha kimepanuka mpaka kopo la dawa ya mbu linazama bila tabu,unakuja hapa kutupa shida,ngojeni sasa wakimalizana na mabwana zenu wanaowatuma wanahamia kwa ma punda
 
Wanamuonea tu kwa sababu ya imani yake. Tuandameni
 
Kwa kusoma habari hizi, nafurahia nilipoamua kumpigia kura Raisi wetu.
 
ulivoandika kama hauko hivyo ulivosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…