Kigogo wa Madawa ya Kulevya (Daudi Kanyau) akamatwa Dar. Mali zake zashikiliwa...

Kigogo wa Madawa ya Kulevya (Daudi Kanyau) akamatwa Dar. Mali zake zashikiliwa...

Kama hakukamatwa kipindi cha Makonda operesheni,haji kukamatwa tena.
 
Kuna audio inatembea whatsapp sijui kama ni huyu....
 
Kuna clips huko inamuonyesha akimla Kajala! Duuu mujini hap kazi tunayo
 
Sasa hyo misikiti itaendela kuswaliwa?
Na msikiti wake aliojenga kwa hela za bwimbwi uvunjwe tu....ukiswalia hapo hupati thawabu....
Swali zuri na gumu
kuswalia kwe msikiti ulojengwa kwa pesa kharamu inaswihi
Swali la kichokozi hili
Kuna mtu alitahadharisha kule kwenye uzi wake wa kujenga masjid isije kuwa fedhwa ya sembe naona yametimia.Sijui kwanini mabaradhuri wengi hujifanya watu wema!

Misikiti haihoji pesa zimetoka wapi. Tunaohoji ni sisi binaadam.

Iwapo unaona msikiti fulani haukufai hakuna lazima ya kwenda au kutokwenda msikiti huo.
 
Uislam ni mfumo pekee unaotoa fursa kwa yeyote aliye au asiye Muislam kuuliza chochote. Kwa kuwa simply Muislam ni mfumo wa maisha.

Huwezi kusema hilo swali ni la "uchokozi" kwa kuwa muuliza swali anataka kufahamu. Kuuliza si ujinga.
Na mwenye kuuliza asikaripiwe ila ajibiwe kwa upole na kuelimishwa.
 
Kuna clip nimeisikia jana kwenye magroup ya watsap kumhusu huyu jamaa, dah ni ya aibu sana haifai yata kuisikiliza, kuna mdada anafunguka hata aibu hana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndiye kamridhi dai kwa zari sijui ngada kaacha hapo kuna siri kubwa
 
Hapa yupo na BASHITE south hivi majuzi
Screenshot_20190427-221407.jpeg
 
Back
Top Bottom