Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hyo misikiti itaendela kuswaliwa?
Na msikiti wake aliojenga kwa hela za bwimbwi uvunjwe tu....ukiswalia hapo hupati thawabu....
Swali zuri na gumu
kuswalia kwe msikiti ulojengwa kwa pesa kharamu inaswihi
Swali la kichokozi hili
Kuna mtu alitahadharisha kule kwenye uzi wake wa kujenga masjid isije kuwa fedhwa ya sembe naona yametimia.Sijui kwanini mabaradhuri wengi hujifanya watu wema!
Lina ugumu upi?Swali zuri na gumu
Uislam ni mfumo pekee unaotoa fursa kwa yeyote aliye au asiye Muislam kuuliza chochote. Kwa kuwa simply Uislam ni mfumo wa maisha.Swali la kichokozi hili
Na mwenye kuuliza asikaripiwe ila ajibiwe kwa upole na kuelimishwa.Uislam ni mfumo pekee unaotoa fursa kwa yeyote aliye au asiye Muislam kuuliza chochote. Kwa kuwa simply Muislam ni mfumo wa maisha.
Huwezi kusema hilo swali ni la "uchokozi" kwa kuwa muuliza swali anataka kufahamu. Kuuliza si ujinga.
Zari yeye hajali kama jamaa anaweza kumnunulia nyumba South Africa basi atamzalia na yeye mtotoHuyu ndiye kamridhi dai kwa zari sijui ngada kaacha hapo kuna siri kubwa
Zari yeye hajali kama jamaa anaweza kumnunulia nyumba South Africa basi atamzalia na yeye mtotoHuyu ndiye kamridhi dai kwa zari sijui ngada kaacha hapo kuna siri kubwa
Eti “ kafata mgao”🙆🏾♀️Hapa yupo na BASHITE south hivi majuziView attachment 1082838
MhhhHapa yupo na BASHITE south hivi majuziView attachment 1082827