Kwa sasa madawa yanawekwa kwenye shisha, mtu anajikuta kazoea kusizi, baada ya hapo anatafuta kitu yenyeweNjia gani wanatumia kuwashawishi watu watumie madawa? Sababu huwa najiuliza tunaona mateja kama Chid benz alivyosota lakini watu bado wanajiingiza kuvuta.
Anapewa UbaloziNamuelewa sana,yule mzee wa kidhibiti ubaoni 😄
Najuwa watu fulani wanachukizwa na utendaji
Wake wa kazi ila lymo shikilia hapo hapo 😄 usiaxhieee
Ova
Duh! Watu wanajiwezaKwa sasa madawa yanawekwa kwenye shisha, mtu anajikuta kazoea kusizi, baada ya hapo anatafuta kitu yenyewe
hahaha kuna mkubwa hajapewa chake hapo ndio kafanya haya mambo....aiseee hela halali ni shida mwanawaneWatu wengi wanakula na wakubwa hawaguswi
Huwezi amini toka nianze kufuga nimeshindwa kabisa kula mdudu wa nyumbani wa kufuga.Kwahiyo mkuu kongoro za mdudu unazifakamia upendavyo
Wa kwanza SamiaSalaam Mkuu Erythrocyte .
Mbona kama sijakuelewa? Kwani Mfumo unahusikaje na hii biashara haramu? Kama unawahamu wachache ambao bado wanalindwa, naomba utumie jukwaa hii kuwaweka hadharani.
Ahsante
Lyimo anafukuza mwizi kimya kimya ukijaa kwenye target huchomoki. Uzuri ni mtu wa field na angle zote anazijuaWote wakina langa unyamwezi ulizidi mambo ya kuiga mambo ya kugongeana msuba,nitembeze chata kumbe ndani watu wamechanganya
Sahv kdg lymo anapambana na my friend
Ukiingia mkononi mwake 😄
Hutoki
Ova
Mwamba ana balaa sana, huwa kwanza wanapewa alert acheni hizo mishe wanakuwa wabishi. Siku akirudi huwa anapita nao kama ndege taiLyimo tangu wakati ule akiwa dso kahama hakuwaga mtu wa mchezo mchezo. Namkubali.
Gari ikipita Scanner, wale walinzi wa getini si chochote wao wanaangalia kwa macho container number kisha wanalinganisha na gate pass& release order. Mlinzi wa getini yeye anaangalia usahihi wa mzigo kwa jumla sio kilichopo ndani na analinganisha na nyaraka zinazokurusu utoke kihalali.Nakueleza from experience, huwezi out kwenye system mzigo ambao haujapita scanner. System inakataa na ikikataa unakuwa incomplete.
Ulikosea kulima kila kitu. Unatakiwa uchague mazao matatu hivi ya kufa nayo. Sasa wewe unalima kwa kufuata upepo.Hayo matango usiniambie.
Nililima mwaka juzi yakazaa balaa.
Bei ndogo hasara silimi tena labda kidogo ya kula.
Nimejaribu kulima mazao mengi sana nyanya, vitunguu, tikiti, mahindi, alizeti, mihogo, hoho, viazi lishe, pilipili mbuzi au habanero au mwendokasi.
Nimelima ndizi, papai.
Sasa napanda minazi mingi sana.
Kilimo unatakiwa ujue soko lako, muda sahihi, eneo sahihi na kiwango cha kulima kwa usahihi. Ukikosea kimojawapo ya hivyo tu utakichukia kilimo wakati mazao hayo hayo wenzio wanapiga pesa ndefu.
Wako baadhi ya waona mbali. Huko mbeleni wanamuona akiwa mbali sana zaidi ya alipo sasa labda ata kukalia kiti wavaa kaundaaNajuwa watu fulani wanachukizwa na utendaji
Wake wa kazi ila lymo shikilia hapo hapo 😄 usiaxhieee
Ovaa
Hii imekua miongoni mwa vichocheo vya watumishi wazalendo, wafia nchi kuamua kujiingiza katika ufisadi/rushwa nk wakistaafu hawana kitu wanachekwa/wanadharauliwa na jamii hii hii ambayo iliwasifia kwa uzalendo wao wakiwa kazini ilihali yaliyokua majizi yakistaafu na ukwasi wa kutosha jamii inawaheshimu na kuwaita majina mengi mazuri. Mfano angalia jamii inavowachukulia watoto wa Nyerere,Akistaafu atakuja kuchekwa kuwa kiko wapi huyu alijifanya mzalendo muone hana kitu.
Sikulima kwa wakati mmoja.Ulikosea kulima kila kitu. Unatakiwa uchague mazao matatu hivi ya kufa nayo. Sasa wewe unalima kwa kufuata upepo.
Kila zao hapo lina hela yake kulingana na vigezo ulivyotaja. Ila huwezi kuwa Jack of all trades.
Miezi 2 nyuma alimkamata papa mmoja jina kapuni hkoLyimo anafukuza mwizi kimya kimya ukijaa kwenye target huchomoki. Uzuri ni mtu wa field na angle zote anazijua
Jamaa alikuwa anasema gari inatoka nje bila kupita scanner eti operators wanazuga wanakunywa chai inapita juu kwa juu. Sasa nilikuwa namuelimisha mrangi mambo hayaendi kienyeji hivyo.Gari ikipita Scanner, wale walinzi wa getini si chochote wao wanaangalia kwa macho container number kisha wanalinganisha na gate pass& release order. Mlinzi wa getini yeye anaangalia usahihi wa mzigo kwa jumla sio kilichopo ndani na analinganisha na nyaraka zinazokurusu utoke kihalali.
Kwa Africa yote yanawezakana unakumbuka kipindi cha JPM hizo scanner zilikuwa hazifanyi kazi walidai mbovu.Jamaa alikuwa anasema gari inatoka nje bila kupita scanner eti operators wanazuga wanakunywa chai inapita juu kwa juu. Sasa nilikuwa namuelimisha mrangi mambo hayaendi kienyeji hivyo.
Kwahiyo kuuza mbolea ni biashara ya kuzugia
Na sharti lazima uwe mwanachama wambogambogaAlafu motivation speaker,utawasikia pambana,amka ufanikiwe- mnashangaa mbona wenzetu wana sukuma vyuma vya wajerumani na wajapani kirahisi? Kumbe nyuma kuna michezo myeusi-unakuta msanii anasukuma gari Mercedes Benz G-wagon kirahisi tu! Mziki wake hata Zambia haufiki!
Tafuta uzi wa yule padri anayewatembelea vijana waliohukumiwa china..Mkuu ningekuwa nawahamu nisingekuuliza au kukuomba uwataje. Nipo tayari sasa kuisikia hiyo list ya hao wafanya hii biashara haramu.
Ahsante
Thread 'Padri anayechapisha barua za wafungwa wa Kitanzania nchini Hong Kong aongea' Padri anayechapisha barua za wafungwa wa Kitanzania nchini Hong Kong aongeaMkuu ningekuwa nawahamu nisingekuuliza au kukuomba uwataje. Nipo tayari sasa kuisikia hiyo list ya hao wafanya hii biashara haramu.
Ahsante