Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Thread was deleted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😤Mara tunasikia mvua inanyesha daslm na maji hakuna daslm tena...
Tutafute katiba mpya viongozi wajinga hawana nafasi huo mtaa umejaa maccmYani ni hivyo
pamoja na mvua yote hiyo bado maji na umeme havipatikani
Tupo mitaa ya kigogo huku giza. ..
Mwenyezimungu muweza wa yote
Kwa yeyote kwa namna yoyote anaye faidika na huu upuuzi, MLAANI
OVER
Ni wapi huko? Mbona sisi huku Chato umeme Na maji Ni 24/7? Unga mkono juhudi. Kwanini muishi kwenye mikoa ya ajabuajabu?Yani ni hivyo
pamoja na mvua yote hiyo bado maji na umeme havipatikani
Tupo mitaa ya kigogo huku giza. ..
Mwenyezimungu muweza wa yote
Kwa yeyote kwa namna yoyote anaye faidika na huu upuuzi, MLAANI
OVER
Nimewasha yote imeishausilalamike NUNUA mshumaa
Huku ni Daslam mkuuNi wapi huko? Mbona sisi huku Chato umeme Na maji Ni 24/7? Unga mkono juhudi. Kwanini muishi kwenye mikoa ya ajabuajabu?
Hahahahaha........mpo mbali sana na Dunia Mkuu. Vuteni subraaa, Inshallah.Huku ni Daslam mkuu
Tuwe wavumilivu ni jambo la mpito tu.. serikali inaongozwa na wanawake.Yani ni hivyo
pamoja na mvua yote hiyo bado maji na umeme havipatikani
Tupo mitaa ya kigogo huku giza. ..
Mwenyezimungu muweza wa yote
Kwa yeyote kwa namna yoyote anaye faidika na huu upuuzi, MLAANI
OVER
Aisee😁Tuwe wavumilivu ni jambo la mpito tu.. serikali inaongozwa na wanawake.
In shaa Allah 😂Hahahahaha........mpo mbali sana na Dunia Mkuu. Vuteni subraaa, Inshallah.
Wanawake kwan wao wanasemaje juu ya uongozi wao??Tuwe wavumilivu ni jambo la mpito tu.. serikali inaongozwa na wanawake.
😑Poleni sana...