Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Nmeipenda na kuikubali pia
 
Kigogo yupo Tanzania. Kigogo ni mtu mmoja. Kigogo anashirikiana kwa uchache sana na watu. Kigogo ni mtu wa stry zinazoleta habari nzuri kwaajili ya machapisho yake. Kigogo tunae humu humu, Ila ni mtu mjanja. Asanteni. Watanzania hatuna siri. Ndii maana nasema kigogo angekua anashirikiana na watu ungemjua. Cha mwisho kigogo kama hajasoma marekani, basi ameishi marekani.
 
Kweli Kigogo wewe kiboko kwa kukosoa lakini acha TABIA YA MATUSI tufahamishe yale ya kweli tu. Ukitukana unajivunjia heshima
 
Safi great mind still alive. Kijana wa kisiwani
 

Kigogo hayupo nchini mkuu, kuishi nchini ni hatari zaidi na hilo analijua
 
Kwanini Serikali wasiombe msaada kutoka kwa shirika la kijasusi marekani kwa FBI wamkamate kigogo?

Au kuomba msaada kutoka kampuni ya Twitter, wapate location ya kigogo?
Twitter hawawezi kubali kuexpose siri za mteja wao pia kwa mtazamo wao wanaona kama anachofanya kigogo ni kama freedom of expression
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…