Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Siku chache kabla kutangaza majukum yake 2015 alipost gari lenye thamani kubwa na mpaka leo naona seat za gari ni za ile gari aki post kiufupi kigogo kapata pesa ghafla cha kujiuliza kazitoa wapi pesa hizo? anaendesha vi project vyake vilivyokuwa vimesimama kwa kukosa pesa.
 
Huu mchezo kigogo hata weza acha kama asiposemwa hadharani ni nani kwa majina yake matatu ni kama ntu anayefanya majaribio ya kuwa hacker akifanikiwa haachi mchezo huo maana huona ni burudani,ila kila napotaka kumtaja nafsi inasema usimuhukumu mtu mpe nafasi ya kujirekebisha,
 
Amini hiki, wenye kazi yao wameshamjua kigogo ni nani na wanaomjua washajua kama wenye kazi yao wanamjua.

Tatizo mna vi underestimate vyombo vyenu vya ulinzi na usalama ilhali ndy vinavyofanya mlale na kuamka salama.
 
Anayetufanya tulale na kuamka salama ni MUNGU Pekee wengine wazugaji tuu.

Karibu.
 
Mwanamke!! Ahahaha
Katulia now maana ashapewa wizara anakula mema ya nchi hapost vya maana ili msimshtukie
But now kakalia kiti.teh teh
Umesema kigogo ni mwana CCM na hajawahi kuwa upinzani hapo upo sahihi kabisa ila watu hawajaelewa,Iko hivi kigogo ni mwanachama wa ccm toka muda ila utawala wa magu ulimfanya kuwa adui haimaanishi aliichukia ccm ila alimchukia mtu aliyekuwa anaiongoza ccm.
Yote tisa ila mnaweza kushangaa kama nikisema kigogo ni Mwanamke,huyo kigogo ana mida yake ya kuwa hewani inawaje watu huwa wanasema yuto masaa yotehewani ila so kweli hiyo midsa apokuwa hayupo hewani huko alipo huwa ni alfajili mida ya kuamka na kuianza siki

Nimalize kusema kigogo ni smart kweli ila ni mwanamke.
 
😊😊😊
200.gif
 
Acha uongo 😂 kigogo si mwanamke
 
Acha uongo 😂 kigogo si mwanamke
Narudia tena kigogo ni mwanamke sio mwanaume, Nilimpinga mapema huyu aliyeleta huu uzi kutaka kutuaminisha kwamba kigogo ni January Makamba lakini nilimwambia wazi kigogo sio huyu unayemfikilia, sasa kinachoendelea atakuwa ameamini.
 
For your information kigogo si Mwanamke Nina maana na sababu zangu naishia hapa

Britanicca
 
ww huwa naona ni mjuaji anayetaka kuaminiwa kwa kile anachoamini na sio jinsi kilivyo, Mimi sibahatishi nilizungumza hili zaidi ya miaka miwili iliyopita hata leo nasema kile kile kigogo ni mwanamke.
 
Back
Top Bottom