Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Jinga sana jamaa wamelipa hela na wameliahidi kuwa ile kesi yake aliyokimbia kifungo itakwisha maana mafaili watayapoteza na akirudi nchini hakuna wa kumkamata
 
"Kigogo ni mwanachama wa CCM na kama ameacha chama basi ni siku za hivi karibuni, Kigogo hajawahi kuwa mpinzani na hatakuja kuwa mpinzani. Kigogo sio mwanaharakati halisi au wakweli kwani mambo anayoyafanya ni kwa maslahi yake binafsi sio maslahi ya taifa au jamii. Ni kwamba kuna sehemu maslahi yake yamebanwa sasa anahasira na serikali"- ROBERT HERIEL
 
Hayo ndio makisio yangu Mkuu
 
Kigogo hayupo hapa nchini!

Mwanzo kabisa wakikuwa wanamtumia Mange ila baadae wakahamia kwa kigogo.

Bbc walimhoji nafikiri ni mwaka jana lakini hawakutaja jina lake halisi.
Ndo Ile picha na Salim jamaaa aonekane kala full black na uson kala sox.
 
Alikuwa wapi kuunga juhudi kipindi kile avute pesa.
Kaunga juhudi baada ya followers kupungua
 
Jinga sana jamaa wamelipa hela na wameliahidi kuwa ile kesi yake aliyokimbia kifungo itakwisha maana mafaili watayapoteza na akirudi nchini hakuna wa kumkamata
Waswahili bana.

Ni MABINGWA wa USHABIKI.

Ila hawataki kukosolewa.

Ukiwakosoa tu, watajifanya wanakujua mara umenunuliwa mara umekuwa mjinga.

Ma wakikushabikia hata Pesa wanakupa.

Wanaowajulia hawa waswahili Wanapiga pesa tu.
 
mngekua wa maana si mngemkamata kipindi kile cha jiwe hajafa, hamjawahi kuwa smart, jitu lilikua linawaanika hadharani eti leo ndio mwenzenu, kwahiyo wewe mzungu kwa thinking hiyo? mna kazi kubwa sana kutoboa
 
Wewe umetoboa wapi ?

Macho ya makengeza mbowe ?
 
Karibu Mkuu
Umesema kigogo ni mwana CCM na hajawahi kuwa upinzani hapo upo sahihi kabisa ila watu hawajaelewa,Iko hivi kigogo ni mwanachama wa ccm toka muda ila utawala wa magu ulimfanya kuwa adui haimaanishi aliichukia ccm ila alimchukia mtu aliyekuwa anaiongoza ccm.
Yote tisa ila mnaweza kushangaa kama nikisema kigogo ni Mwanamke,huyo kigogo ana mida yake ya kuwa hewani inawaje watu huwa wanasema yuto masaa yotehewani ila so kweli hiyo midsa apokuwa hayupo hewani huko alipo huwa ni alfajili mida ya kuamka na kuianza siki

Nimalize kusema kigogo ni smart kweli ila ni mwanamke.
 
Back
Top Bottom