Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Leo ndio nimeamini kuna haja ya kumfuatilia kigogo kuliko magazeti
 
Aisee embu jaribu na kwangu nipoje?

Hapa nitakuwa napiga ramli mkuu, leo ndio nasoma comment yako, ila kama ningekuwa nasoma mara kwa mara comment zako ninaweza kupata taswira yako na kujua wewe ni mtu wa namna gani
 
Kwa nini Mkuu?
Leo kamwambia mkurugenzi wa bandari asijisunbue kwenda kazini kesho,kwani kashaachishwa kaz,dk 0 Samia katangaza kweli.

Kina Bashiru na Dotto kaanza nao muda tu wamechota 180b hapo BOT sasa alichofanya Samia ni kuagiza zipigwe hesabu toka jan mpka march hapo watatoka?

Kuna gazeti limeandika hizo habari? Kwann nisimfatilie yeye?
 
Sasa maelezo mengi hayo yote ya nini
 
Kigogo naona umekuja kivingine 😂🤣!
 
Kigogo anaonekana ni introvert. Siyo mtu mwenye kundi kubwa la watu.

Kina Chahali, Goodluck haule wite inaonekana huwa wanamfuta inbox kumpelekeza.

Wote kawachana na haelewani nao.
Alishawashtukia hawapo real.
 
Watu wanasema kwamba kigogo ni taasisi mara ni watu wengi ,mimi nakataa kigogo ingekuwa ni kikundi cha watu wangekuwa washasnitchiana,kigogo ni mtu mmoja hajulikani na mtu mwingine zaidi yake mwenyewe,kama kuna majini basi kigogo atakuwa ni JINI ambaye anaoteshwa vitu na kuvipost ,ni kama waganga wanavyobashiri.

KEEP ATTACHKING.
 
Kigogo yuko ndan ya hii hii nchi na ni mtu mkubwa tu serekalin pengne bado yuko kwenye system au hata kama alishatoka bas anaijua serekal vzuri sana had ikulu anaijua nje ndani na masuala ya din pengine ni muislam lakn anatumia mbinu ya kujidao mkristo ili kumvuruga adui anae muwinda, anaweza kujidai yuko nje ya nchi lakn zot ni mbinu tu ile accnt iko actve sawa na masaa yetu huku EA, na Mara chache sana ndo inakua actve had night hizo pengne ni mbinu zake tu za kumvuruga adui, na hata kma yuko nje ya nchi lakn bado kuna mtu wake ambae ndo mtoa taarifa na yuko ndan ya serekal had Sasa.
 

Anayeandika hayupo nchini Mkuu, hakuna mtu anayejiamini kwa kiwango hicho mzee wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…