Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Hehe bongo patamu leo watu wanamuona kigogo hafai wakati walikua wanamuona kama mwokozi wao
 
Kigogo ni mnazi wa CCM aliyeichukia sana mataga, hataki upinzani uje kushikia madaraka siku moja. 2025 atakuwa akiushambulia upande mmoja wa chama anaouchukia sana.
Wiki yote hii wamemtandika vizuri kule Twitter bila kukwepesha. Umaarufu wake KWISHNEY. Ngoja tuone juhudi zake za kubaki relevant katika mapambano ya kulikomboa Taifa letu kutoka kwa genge la wahuni la maccm.
 
Kigogo ni mnazi wa CCM aliyeichukia sana mataga, hataki upinzani uje kushikia madaraka siku moja. 2025 atakuwa akiushambulia upande mmoja wa chama anaouchukia sana.
Heheh leo yamekua haya...............Kama Simba na Haji Manyara tarangire
 
Lafudhi yake siyo ya Kanda ya ziwa,inasound kama ni wa Iringa au Njombe hivi.don't underate him to the extent of calling him a fool,ukimdharau adui yako ndo unampa nafasi ya kukumaliza kwa urahisi.
 
Bavicha na DJ zero hamfai kabisa. Jamaa kawageuka mmeanza kuponda
 
Nitayainua macho Yangu.....
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu ni katika Bwana
Usimtegemee Mwanadamu
Amelaaniwa Amtegemeaye Mwanadamu

Tumgeukie Mungu
 
Sasa imedhirihika huyo kigogo2014 ni ng'ombe kama ng'ombe wengine. Ndumilakuwili mwenye kujiona Mungu mtu.
 
Maoni yake kuhusu tukio la leo la polisi kurushiana risasi na kuuwawa karibu na ubalozi wa Ufaransa ni kituko kitupu.
 
Kigogo si mtu mmoja ila ni kundi la watu watumiao hilo jina kama wana habari za kuikosoa serikali, usikute hata huyu Mmiliki wa JamiiForum pia ni Kigogo. Wengi wa kina Kigogo ni watu walionyimwa ulaji serikalini, hivyo kwa hasira zao za kutoalikwa kuibia taifa wanakwenda mitandaoni kulalamika na kuikosoa serikali.
 
Kwanza tutampa uongozi alafu tutadil nae kipindi cha uchaguzi, imekaaje hii mkuu
 
Hana maana yoyote huyo jamaa , anaitwa Didier Abdalah Mlawa ni mpuuzi fulani hivi alikua na connection na matakataka ya Ikulu kipindi cha mwenda zake wakawa wanampa taarifa hivyo akaonekana mwamba kumbe hamna kitu. Kama yeye mwamba mbona sasa hana taarifa yoyote nyeti anahangaika na simba na yanga tu? kakimbia nchi baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka mitano na Mahakama ya Wilaya ya Ilala mwaka 2015 kwa kosa la kumuibia mwajiri wake kampuni ya Scania Tanzania zaidi ya milioni 117 kwa kughushi. Ni mwana harakati uchwara alipata umaarufu kwasababu lile jendawazimu la chato hakuna aliokua analipenda ndiomaana taarifa zake watu walikua wanafuatilia sasahivi ni Puuzi tu hilo Luguru la Ifakara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…