Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Huyo Ni Kama lissu

anavyoeleza Ni wale wale

Mwambie arudi sasa nyumbani si Hayati Magufuli hayupo tena? Pia wewe rudi basi nyumbani mbona bado unazurura huko ughaibuni kwa mabeberu? Au bado mnawaogopa watz?
 
Sasa mkuu kwa mambo kama haya tunatakiwa tukae kimya? Unajua baadhi ya watu wanamuona mbaya kigogo ila jamaa anafungua macho waliolala
20210327_214743.jpg
20210327_214900.jpg
 
Snowden ila serikali ijaamua tu, au Mburahati ni Ngurumoni au CHAHARINI
 
Serikali kama wanamtafuta huyo Kigogo basi wamfuate Zitto awape Ushahidi wa huyo aliyentaja kuwa ndiye mbaya wao!
Hiyo post hajawahi iandika ZZK, ni Musiba na genge lake waliedit post ya ZZK wakaisambaza, ni mambo ya hovyo tu.

Kigogo akiandika kwa kiingereza huwa ananyoosha sentensi, akiandika kwa kiswahili huwa anakosea kosea, naamini hili analifanya makusudi kabisa.

Hili swala la Kigogo linanikumbusha vita ya kimtandao baina ya Serikali ya Saudia na wanaharakati wa Twitter juu ya suala zima la Jamal Kashogi. Kundi hili la upinzani huwa linajua fika kuwa serikali ina resources zote za kuwezeshwa kupatikana kwao hivyo huwa wanajihami sana, Je serikali yetu ina resources hizo? kama haina ni kwanini, na kama inayo kwanini hawampati? Au hawampati sababu ni mmoja kati yao? Maswali ni mengi kuliko majibu.
 
'Niliwahi kuandika hapa facebook'

This means mleta uzi kacopy ishu yake ya fb na kuipaste hapa bila proof reading. Also nakupa ujanja ili huko fb uzidi kuwateka.

Mfano unasema anaonekana anaidai serikali basi unainsert screenshots zinazoonyesha hivyo. Na sehemu unazoamini zinahitaji picha unaingizia.

Katika uwasilishaji makala, makala yenye picha inavutia kuliko ambayo ni mwendo wa neno kwa neno mpaka mwisho.

Anyway, uzito wa mdundo wa indi amka na denzi za Sancho,

Ni sawa na ubishi wa goli kutoka kwa mbishi pancho,

Mashughuli toka utoto toka time ya msoto, toka studio joto sahau kuhusu AC...
Chichichichid benzeee,noma sana
 
Wao wasifundishwe ni kina nani?

Yeyote mwenye hekima hufundishwa mzee hata kama jambo analijua haimaanishi analijua kwa namna zote.

Kuhusu kucheza na akili za wengi, hapa nakataa mpaka mwisho, unajua Kigogo ametukana sana hasa kipindi hiki.

Mimi ni mtetezi wa uhuru wa kujieleza lakini sio wa kiwango kile cha kuvunja utu na heshima ya mtu
Huna uwezo wowote ule wa kuwafundisha TISS mambo ya intelijensia NARUDIA HUNA!

Yaaani wanajua kuliko unavyojua
 
Back
Top Bottom