Kigoma JF users connect

Okay, mi Mwanza ni mwenyeji kidogo, nakuja kama mara nne au tatu kwa mwaka.
Waooo karibu sana sana sema lini unakuja nitakutumia nauli upande mabasi ya kampuni za AAdventure, Saratoga, Nyamahita and the like
 
Mnao sema kigoma kuna wanawake wazuri napata wakati mgumu sana kuwaelewa

Au mje na fasili yenu ya neno WANAWAKE WAZURI
Kuna tofauti kubwa sanaa kati ya mwanamke mzuri na mwanamke mrembo

Mzuri
Ni mwanamke anayekonga nyoyo kuanzia nje mpaka ndani, hasa kiujumla ya maisha halisi ya mwanaume,.
Au
Ni yule anayeweza kusanya kila hisia za mwanaume pasipo kuacha shaka na kujiridhisha kwa kina juu yake, ambaye humfanya mwanaume kua yeye alikua hajatimia alikua ni kipande hivyo kipande chenzake kimepatikana hasa pale linapokuja suala la utu uzima, ujenzi wa familia

Haaaaa, Raimundo hapa umetisha yaani sisi kumbe ni nooma aise
 
Wewe utakua wa kabhula nzwiri wilaya ya kasulu,

Unaomba malazi kwanza ukimanisha poo, hafu unachagua atakae endeleza, ukirudi unapewa na wewe brief walipoishi unalisongesha. Ki mbembe ni pale unabishana hafu ni usiku, mnaita watu kazaa mnakubaliana mlipoishia mnaenda kulala, mkiamka kesho mkakutana mnaaza tena ila ikishindikana kabisaaaaaaa hakuna namna mnapika wali mzichape atakae pogwa ndio mshindi wa ubishi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Nilikua nikiona hapa hakuna mwisho namuomba baunza anishikie ubishi, wakikosa mwafaka hapa ntashinda tuu
 
Kwenye kupika wali sasa, wa kwanza kupapua ndo atakayeanzisha ugomvi. Utasikia lipa ng'ombe wangu, maana yake mchape adui kodi ili ugomvi uanze rasmi.

Ukishinda ugomvi au adui amekataa kugombana unaambiwa wewe mshindi uwike kama Jogoo, Kokolikoo, koo! Hapo kidume umeibuka kidedea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…