Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
A very good reasoning! Umepata milioni 9, Sasa unatafuta nguvu zipi badala ya kuendelea na nguvu hizo zilizokupa milioni Tisa?All in all RIP Mama milioni 9Sasa mama nguvu iliyokupa milioni 9 uliiona ndogo ukatafuta mazindiko.
...Yaani mtu una Shilingi Milioni 9 halafu unakwenda kwa Mganga ili ziongezeke?Kuna watu ni wajinga sana. Anyway, apumzike kwa amani.
Kuna pahala miaka ile ukisikia uteuzi wa Wakuu wa Idara..basi huo mwezi ni kupishana na watu wananuka mavi ya Ng'ombe .Tamaaa mbele mauti nyuma.
kwa nini utegemee uganga na ushirikina ili utajirike?!
Mtegemee Mungu kwa kila Jambo.
Imani za kishirikina zinawatesa sana watanzania walio wengi, kila jambo wanalo lifanya lazima ushirikina uhusike!
1. Sehemu za Biashara
2 . makazini
3. maofisini
4. vyeo
n.k,
...Yaani mtu una Shilingi Milioni 9 halafu unakwenda kwa Mganga ili ziongezeke?
Ina maana hata hizo ulizipata kwa Mganga?
Kuna sehemu/ makabila wanaamini Sana mambo ya uchawi kupitiliza, hivyo huwezi kumwambia lolote. Kwao kila kitu kinatokea kwa "mkono" wa mtu. There is no natural causes of the events, no science, no nothing!