Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huenda millioni tisa alizipata kutoka kwa mganga mwingine aliyefarikiA very good reasoning! Umepata milioni 9, Sasa unatafuta nguvu zipi badala ya kuendelea na nguvu hizo zilizokupa milioni Tisa?All in all RIP Mama milioni 9
unakuta pesa za ukweli ni millioni 20Hizo pesa zipo mikononi mwa polisi usishangae zikapotelea huko huko familia ya huyo mama Wasipate hata 100,
Ile haikuwa ushirikina mkuu, ilikuwa pseudo science.. Science ya uwongo, ilikuwa ikitumia argument za kisayansi kuwa ule mvuke unaenda kuua virusiKwani kwenye nyungu na yale matango pori kulikuwa na science ipi mjomba?
In the case, that sehemu = Tanzania (typical).
Au nasema uongo ndugu zangu?
Ile haikuwa ushirikina mkuu, ilikuwa pseudo science.. Science ya uwongo, ilikuwa ikitumia argument za kisayansi kuwa ule mvuke unaenda kuua virusi
Naona alitumwa na Interahamwe! Hao kisasi ni kwa ukoo mzima!Aisee siwangempanga tu huyo mama aondoke aache hizo pesa hapo iwe imeisha!
Polisi wamekamata milion Tisa, Ina maana wahusika hawakuwa wamezitumia Wala kugawana, kitu ambacho sio rahisi.Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma linawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa pikipiki na mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumuua na kisha kumfukia mwanamke aliyekuwa ameenda kuzindika fedha za biashara kiasi cha shilingi milioni 9.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo katika wilaya ya Kasulu na kukamatwa kwa mganga huyo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Kigoma ACP James Manyama, amesema baada ya kutekeleza mauaji hayo walichimba shimo la kumfukia kisha kuchukua fedha zake ambazo katika upekuzi jeshi la polisi walizikamata nyumbani kwa mganga.
EATV
Huyo mtu mwenye kupeleka milioni 90 kwa mganga kiboya boya hadi kuishia kunyongwa kama kuku atakua kazitoa wapi?😂😂Polisi wamekamata milion Tisa, Ina maana wahusika hawakuwa wamezitumia Wala kugawana, kitu ambacho sio rahisi.
Kwa polisi wetu inaweza kuwa sio million 9 Bali 90.
Nadhani huyu ni Mwalimu waoKuna watu ni wajinga sana. Anyway, apumzike kwa amani.
Hata hizo 9 polisi hao ni walokole.Polisi wamekamata milion Tisa, Ina maana wahusika hawakuwa wamezitumia Wala kugawana, kitu ambacho sio rahisi.
Kwa polisi wetu inaweza kuwa sio million 9 Bali 90.