Kigoma: Mganga amuua Mteja aliyetaka kuzindika Fedha za Biashara Tsh milioni 9

Kuna ujinga ambao unashangaa Mtu anawezaje kuwa mjinga kiasi hiki...????? Mil 9 ufukie ili ziwe bilion au
 
Hizo pesa zipo mikononi mwa polisi usishangae zikapotelea huko huko familia ya huyo mama Wasipate hata 100,
 
Kwani kwenye nyungu na yale matango pori kulikuwa na science ipi mjomba?

In the case, that sehemu = Tanzania (typical).

Au nasema uongo ndugu zangu?
Ile haikuwa ushirikina mkuu, ilikuwa pseudo science.. Science ya uwongo, ilikuwa ikitumia argument za kisayansi kuwa ule mvuke unaenda kuua virusi
 
Ile haikuwa ushirikina mkuu, ilikuwa pseudo science.. Science ya uwongo, ilikuwa ikitumia argument za kisayansi kuwa ule mvuke unaenda kuua virusi

Tumetoka mbali. Kujidanganya kuwa hatukuwa huko na si siku nyingi zilizopita, mbona ni kujilisha upepo?

Ukweli mchungu:

"Sisi, mama wa 9m na mganga wake wote ni wale wale tu --> watu pori."
 
Polisi wamekamata milion Tisa, Ina maana wahusika hawakuwa wamezitumia Wala kugawana, kitu ambacho sio rahisi.
Kwa polisi wetu inaweza kuwa sio million 9 Bali 90.
 
Polisi wamekamata milion Tisa, Ina maana wahusika hawakuwa wamezitumia Wala kugawana, kitu ambacho sio rahisi.
Kwa polisi wetu inaweza kuwa sio million 9 Bali 90.
Hata hizo 9 polisi hao ni walokole.
 
Hivi kama waganga wana uwezo wowote ule kwanini wasijifanyie wenyewe au ndugu zao watajirike???!!mtu ujiulizi,waganga wanaishi maisha ya duni, wameshindwa kujitajirisha wao wenyewe, au hata ndugu zao wa Karibu? Kwanini niende kwa mganga anisaidie wakati yeye mwenyewe hajaweza kujisaidia!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…