Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Wewe ndiye mshirikina namba moja.Ndiye wewe unayefurahia mateso ya MBOWE kisa unalipwa vipande vya fedha na CCM halafu siku ya Jumamosi kwenye kanisa la SDA unaenda kuabudu au kufanya ushirikina kanisani.Mafarisayo hawa kuwa tofauti na washirikina.Wewe ni mshirikina ,wewe ni mfarisayoTamaaa mbele mauti nyuma.
kwa nini utegemee uganga na ushirikina ili utajirike?!
Mtegemee Mungu kwa kila Jambo.
Imani za kishirikina zinawatesa sana watanzania walio wengi, kila jambo wanalo lifanya lazima ushirikina uhusike!
1. Sehemu za Biashara
2 . makazini
3. maofisini
4. vyeo
n.k,
Unajuaje huenda hata chanzo cha hiyo M 9 ilikuwa zindiko la kibiashara?Sasa mama nguvu iliyokupa milioni 9 uliiona ndogo ukatafuta mazindiko.
Ni ngumu kwa Wa mama inawezekana wametumia mbinu zote imeshindikana na sio mara moja kwenda kuzindika wahuni wakapanga njia mbovu kujipatia kipato...Aisee siwangempanga tu huyo mama aondoke aache hizo pesa hapo iwe imeisha!
Hapo sasa.Sasa mama nguvu iliyokupa milioni 9 uliiona ndogo ukatafuta mazindiko.
Sifa moja wapo ya mwanamke ni kuto JIAMINISasa mama nguvu iliyokupa milioni 9 uliiona ndogo ukatafuta mazindiko.
Huo ndo ukweliunakuta pesa za ukweli ni millioni 20
Nmecheka km mazuri.Sasa mama nguvu iliyokupa milioni 9 uliiona ndogo ukatafuta mazindiko.
Watu bado hawataki amini! Kama mganga yuko vizuri basi hana sababu aweJeshi la Polisi mkoa wa Kigoma linawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa pikipiki na mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumuua na kisha kumfukia mwanamke aliyekuwa ameenda kuzindika fedha za biashara kiasi cha shilingi milioni 9.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo katika wilaya ya Kasulu na kukamatwa kwa mganga huyo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Kigoma ACP James Manyama, amesema baada ya kutekeleza mauaji hayo walichimba shimo la kumfukia kisha kuchukua fedha zake ambazo katika upekuzi jeshi la polisi walizikamata nyumbani kwa mganga.
EATV
Hujui alikuwa anatafuta nguvu ipi? Kawaulize wakingaA very good reasoning! Umepata milioni 9, Sasa unatafuta nguvu zipi badala ya kuendelea na nguvu hizo zilizokupa milioni Tisa?All in all RIP Mama milioni 9
Ni hizo tu!?jeshi la polisi walizikamata nyumbani kwa mganga.