Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
[emoji28][emoji28][emoji28]Kigoma ..........ni mkoa mgumu sana ...full vumbi jekundue + ushirikina
Ninachofurahia tu ni karanga na mawese
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28]Kigoma ..........ni mkoa mgumu sana ...full vumbi jekundue + ushirikina
Ninachofurahia tu ni karanga na mawese
Hatari sana mkuu.....stendi kuu imezubaa sana atleast hata pale Mwanga[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2363069
Kweli nimeona hiiKwaujumla Wake Kugumu Sana, Ukipita Na Kukaa Kidogo Sawa!! Ishi Hapo Uone
Huwezi kuwa seriousKigoma ni kwa makamu.
Naye naona ana vinasaba vya Mwalimu Nyerere, kwamba Tanzania ni ndugu.
Aangalie asije kutuachia udongo mwekundu barabarani badala ya lami.
Asipambane kuruka hewani tu, historia itamhukumu kesho kama ben.
Achukue mifano ya akina pesambili ambao walipambania mikoa yao.
Nategemea kutembelea Kigoma 🤣🤣
Heeh, Kasulu ina Hotel kubwa na nzuri kuliko Kigoma Manispaa!!!??? Hauwezi kuwa serious.Miaka 10? Wakati kwasasa kasulu TC ndio inayoongoza...!
Nadhani uwepo wa mashirika ya kidunia na mzunguko mkubwa wa kibiashara na hawa wageni wanaokuja na kutoka ....
Kasulu ina hotel kubwa na nzuri sana
View attachment 2363067
Hatari sanaHatari sana mkuu.....stendi kuu imezubaa sana atleast hata pale mwanga
Wapi imeandikwa "kuliko Kigoma mjini"?Heeh, Kasulu ina Hotel kubwa na nzuri kuliko Kigoma Manispaa!!!??? Hauwezi kuwa serious.
HillTop, Tanganyika Hotel, Sun Set, Green View, Mwitongo n.k, nitafutie mfano wa hizo Hotel pale Kasulu.
Fanya analysis mwenyewe kwa namba hizoNilichogundua wengi wanaochangia huu uzi hawajawahi kufika Kigoma, wanachangia kwa ushabiki au stori za kuhadithiwa vijiweni.
Kigoma Manispaa ina fursa nyingi mno za kibiashara na shughuli kuu ya kiuchumi ni biashara na uvuvi, zingatia kuwa kuna stesheni ya reli na bandari inayohudumia nchi tatu ( Congo DR, Burundi na Zambia)
Manispaa ya Kigoma ni moja kati ya manispaa chache sana nchini zilizofanikiwa kujenga barabara nyingi za mitaani kwa kiwango cha lami na zaidi ya yote Kigoma ni mji wa kitalii (Makumbusho ya Dr. Living Stone na hifadhi za Gombe na Mahale) na ndo sababu utakutana na mamia ya watalii ndani ya mji huu.
Anayesema Kigoma hakuna mzunguko wa pesa hapajui Kigoma au ana chuki binafsi na watu wa Kigoma.
Mkoa wa kigoma kibiashara unabebwa na kasulu, na mkoa wa ruvuma unabebwa na mbinga, mtwara unabebwa na masasi, mkoa wa shinyanga unabebwa na kahama, Iringa inabebwa na mafinga,
Fanya analysis mwenyewe kwa namba hizo
Kwa hiyo doc wameweka halmashauri zote kwa mikoa, hivyo kama kufananisha ni wewe mwenyewe unawweza fananishaTakwim hizi tunaweza kuzipata kwa miji mingine iliyofananishwa na Wilaya zake? Kwa mfano Shinyanga MC vs Kahama MC, Iringa MC vs Mafinga TC, Mtwara MC vs Masasi TC, Njombe TC vs Makambako TC, Geita TC vs Katoro Town!
Mkuu usichokijua ni kwamba Kasulu iko juu Kwasababu ya Zile kambi za wakimbizi!Fanya analysis mwenyewe kwa namba hizo
Nikusahihishe:Mkuu usichokijua ni kwamba Kasulu iko juu Kwasababu ya Zile kambi za wakimbizi!
Haya mashirika yanachangia Sana kuweka hela kasulu siku zikifungwa mambo yatabadirika Sana.
Kwasababu ninaweza kukuuliza ni uzalishaji gani unaifanya kasulu iwe juu haitanipa Jibu. Asilimia kubwa pale ni uchuuzi. Siku Ile kambi ikifungwa kasulu itadoda Sana.
Kambi ya mtendeli imeshafungwa nenda ukaone Hali ya pale karibu na kambi palivyododa.
Ningekuona Una hoja kama ungeleta shughuli za kiuchumi zilizopo kasulu na shughuli za kiuchumi zilizopo kigoma mjini. Shughuli za kiuchumi ndio huleta sustainability ya uchumi WA sehemu husika.
2
Kingine , lile soko la kigoma (Mwanga) limevunjwa kupisha ujenzi na muda si mrefu wafanyabiashara watarudi tena.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Basi na Morogoro inabebwa na IfakaraMkoa wa kigoma kibiashara unabebwa na kasulu, na mkoa wa ruvuma unabebwa na mbinga, mtwara unabebwa na masasi, mkoa wa shinyanga unabebwa na kahama, Iringa inabebwa na mafinga,
Mkuu kwa nilivyoona pale Mwanga hapawezi kujengwa leo wala kesho, itachukua miaka mitano mpaka pale pajengwe Mkuu, naona watu wamegawanyika wengine wameenda stand mpya wengine wamebaki hapoMkuu usichokijua ni kwamba Kasulu iko juu Kwasababu ya Zile kambi za wakimbizi!
Haya mashirika yanachangia Sana kuweka hela kasulu siku zikifungwa mambo yatabadirika Sana.
Kwasababu ninaweza kukuuliza ni uzalishaji gani unaifanya kasulu iwe juu haitanipa Jibu. Asilimia kubwa pale ni uchuuzi. Siku Ile kambi ikifungwa kasulu itadoda Sana.
Kambi ya mtendeli imeshafungwa nenda ukaone Hali ya pale karibu na kambi palivyododa.
Ningekuona Una hoja kama ungeleta shughuli za kiuchumi zilizopo kasulu na shughuli za kiuchumi zilizopo kigoma mjini. Shughuli za kiuchumi ndio huleta sustainability ya uchumi WA sehemu husika.
Kingine , lile soko la kigoma (Mwanga) limevunjwa kupisha ujenzi na muda si mrefu wafanyabiashara watarudi tena.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu sio kweli, mzunguko ni mdogo nimekutana marafiki zangu ni watumishi hapo maweni hospital, wakaniambia sio kwamba wanashindwa kufungua biashara, tatizo mkoa ni mgumu saanaNilichogundua wengi wanaochangia huu uzi hawajawahi kufika Kigoma, wanachangia kwa ushabiki au stori za kuhadithiwa vijiweni.
Kigoma Manispaa ina fursa nyingi mno za kibiashara na shughuli kuu ya kiuchumi ni biashara na uvuvi, zingatia kuwa kuna stesheni ya reli na bandari inayohudumia nchi tatu ( Congo DR, Burundi na Zambia)
Manispaa ya Kigoma ni moja kati ya manispaa chache sana nchini zilizofanikiwa kujenga barabara nyingi za mitaani kwa kiwango cha lami na zaidi ya yote Kigoma ni mji wa kitalii (Makumbusho ya Dr. Living Stone na hifadhi za Gombe na Mahale) na ndo sababu utakutana na mamia ya watalii ndani ya mji huu.
Anayesema Kigoma hakuna mzunguko wa pesa hapajui Kigoma au ana chuki binafsi na watu wa Kigoma.
Mimi ni mzaliwa wa huko na nimefanya miradi mingi huko naelewa niachokwambia.Nikusahihishe:
1. Najua wazi kwanini kasulu ipo juu.
2. Unachosema kwamba kasulu hakuna shughuli za kiuchumi?