Kigoma mjini kuna fursa za maisha kweli? Naiona Kasulu ikiipita kigoma mjini

Mimi ni mzaliwa WA huko na nimefanya miradi mingi huko naelewa niachokwambia.

Nimekwambia tembelea maeneo ya kambi ya wakimbizi ya mtendeli iliyofungwa uone uchumi Kwa sasa ukoje.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nikajua tunaiongelea Kasulu kwa ujumla wake!

Kwahiyo pointi unayosimamia ni kuwa Kasulu "hakuna shughuli za kiuchumi"?
 
Mkuu sio kweli, mzunguko ni mdogo nimekutana marafiki zangu ni watumishi hapo maweni hospital, wakaniambia sio kwamba wanashindwa kufungua biashara, tatizo mkoa ni mgumu saana
Sio kila taarifa ni sahihi Ila Kwasababu umetumia sample ya rafiki zako kujua ukweli it's ok

Kuna watu hiyo kigoma wanasafirisha hao dagaa WA Kigoma Australia kila mwezi.

Angalia fursa tafuta soko lako hata nje ya Africa , wewe hao madaktari na biashara wapi na wapi ?

Waambie wafungue vituo vya mafuta maeneo ya Gungu uone kama hawatusui.

Sio kila MTU ni mfanyabiashara

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kagera inabebwa na karagwe
Hapana kagera inabebwa na Muleba na misenyi...
Kimapato hizo wilaya zinazidi Bukoba mjini...hata kimakazi pia hasa huko vijijini..

Karagwe ni ya tatu japo nayo inaizidi bk mjini kimapato...

Bukoba mjini inayo fursa ya kuwa mji mkubwa sema serikali inazembea sana kwenye miradi ya kimkakati kama ujenzi ws stend, soko, upanuzi wa bandari nk
 
Basi wewe bado kama unajua hilo tu ... shughuli kubwa ya wakazi wa kasulu ni kilimo cha biashara. Tafuta taarifa. Kwakua huzijui haimaanishi hazipo
 
Mimi ni mzaliwa wa huko na nimefanya miradi mingi huko naelewa niachokwambia.

Nimekwambia tembelea maeneo ya kambi ya wakimbizi ya mtendeli iliyofungwa uone uchumi Kwa sasa ukoje.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Unachosema ni kweli labda tu abishe mwenyewe, factor nyingine ninayoiona ni kuzungukwa na vijiji vingi, vyoote vinategemea kasulu mjini kwa mahitaji yao, kasulu mjini zile kambi za wakimbizi na mashirika yameleta mapinduzi makubwa ya kibiashara
 
Sio kila taarifa ni sahihi Ila Kwasababu umetumia sample ya rafiki zako kujua ukweli it's ok

Kuna watu hiyo kigoma wanasafirisha hao dagaa WA Kigoma Australia kila mwezi.

Angalia fursa tafuta soko lako hata nje ya Africa , wewe hao madaktari na biashara wapi na wapi ?

Waambie wafungue vituo vya mafuta maeneo ya Gungu uone kama hawatusui.

Sio kila MTU ni mfanyabiashara

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sawa Mkuu, lakini kumbuka biashara nyingi za watumishi ni kufungua maduka ya kawaida tu, mambo ya kituo cha mafuta hiyo ni invest kubwa kidogo, kutokana na kugawanyika huku hata mom naona fursa za biashara ni ndogo sana
 
Heeh, Kasulu ina Hotel kubwa na nzuri kuliko Kigoma Manispaa!!!??? Hauwezi kuwa serious.
HillTop, Tanganyika Hotel, Sun Set, Green View, Mwitongo n.k, nitafutie mfano wa hizo Hotel pale Kasulu.
Kapanda Bajaji kutokea mjini hadi Ujiji anakwambia Kasulu kuna hoteli nzuri kuliko Kigoma Manispaa[emoji1787][emoji1787].

yani hawa huwa wanapita kwenye barabara kuu tu kisha wanaanza kutoa hukumu.
Au wamekariri mpaka waone Magorofa.

Hakuna sehem nzuri yenye nafuu ya chakula na mazingira mazuri ya mtu kuishi kama Kigoma.
 
Sawa Mkuu, lakini kumbuka biashara nyingi za watumishi ni kufungua maduka ya kawaida tu, mambo ya kituo cha mafuta hiyo ni invest kubwa kidogo, kutokana na kugawanyika huku hata mom naona fursa za biashara ni ndogo sana
Wewe kama msomi achana na mambo ya kufungua maduka fursa zipo nyingi ndugu yangu. Mambo ya biashara za kuiga ndio hayo sasa.

Nimekwambia huko kigoma Kuna fursa nyingi chunguza Kwa umakini halafu angalia jicho la fursa nchi zinazopakana na kigoma.

Mimi nimekuzoea na wazazi wangu walikuwa wanapeleka bidhaa Congo maeneo ya uvira.

Hapo kigoma mjini wanayalisha maeneo yote ya Congo inayopakana na kigoma.sasa wewe Kwa akili zako umeenda kichwa kichwa na kuanza kudharau watu.

Angalia fursa yankupeleka vitu Congo au Burudi hapo utakuja kuleta mrejesho.

Kuna watu wanapeleka simu za Nokia ya tochi Burundi wanakuwa matajiri hapo hapo kigoma. Sasa wewe endelea na akili zako za kufungua maduka.

Niishie hapa kama hujaelewa utaeleweshwa

Umemaliza kila kitu
 
Nikusahihishe:

1. Najua wazi kwanini Kasulu ipo juu.

2. Unachosema kwamba Kasulu hakuna shughuli za kiuchumi?

Wakimbizi na mashirika mengi yapo huko kibondo na sio kasulu, moja ya sababu ni watu wa kasulu ni wachapa kazi sana iwe biashara au mambo mengine, na wanabebana sana kwenye nguo kariakoo naona wamejaa watu wa kasulu, lakini shule nyingi pia binafsi na serikali ziko kule na nahisi hata shule watakua wengi wao wamesoma
 
Halafu kasulu bidhaa niliona ziko chini sana kuliko kigoma mjini lakini pia kuwakuta warundi na wacongoman wakinunua vitu kwa jumla ni kawaida lakini pia baadhi ya maeneo ya tabora huchukua vitu kasulu, hata wafanyabiashara wa kigoma mjini huandamana kwenda kasulu kufuata bidhaa maduka ya kasulu
 
Hapo umesema ukweli, wafanyabiashara wenye mitaji midogo wote wanafata mzigo kasulu
 
Back
Top Bottom