#COVID19 Kigoma: Wazazi wavamia shule wakidhani watoto wanachomwa chanjo ya COVID-19

#COVID19 Kigoma: Wazazi wavamia shule wakidhani watoto wanachomwa chanjo ya COVID-19

Wabongo wengi ni vilaza sana.
Wewe utakuwa lijinga sana. Serikali imesema ni hiari let it be. Mimi sichomi kabisa hata iweje, let us see zombi watakvyozaliwa. Hii chanjo tatizo lake ni new technology, hakuna anayefahamu madhara yake.
 
Nafikiri mmeweza kuona mtoto mwenye akili.mbovu amezirithi wapi hizo akili mbovu zake
 
Nawaza walijikusanyaje ghafla na kuunda lao moja, na kupata maamuzi ya hapo hapo ya kwenda shuleni.

Corona huenda wanaisikia tu kwenye redio leo watoto wao wanachomwa chanjo kienyeji tu.
 
Nikiwaambia wanaotaka chanjo ni watu wenye safari za nje hamtaki kuelewa 😅😅
 
Watu wanamlaumu Magu badala huo muda wautumie kuelimisha watu kuhusu chanjo. Mnaropoka ropoka tu ila sijaona nguvu ikiwekezwa kwa viongozi wa mitaa kuitisha vikao vya elimu ya chanjo
 
Sumu ya mzazi kuhusu chanjo +uoga wa mtoto kuchomwa sindano hapa somo limeeleweka, juzi nilikuwa kijijini huko mtoto wa mdogo wangu karudi mbio kumuuliza akasema wanachanjwa shuleni, ikabidi nicheke tu.
Watanzania tunapenda kulishana ujinga.
 
Haya mambo yapo toka miaka ya nyuma,

Zamani watu walikua wakiona Ambulance zenye msalaba mwekundu walikua wanakimbia wakiamini kua hao ni wanyonya damu!
 
Wewe utakuwa lijinga sana. Serikali imesema ni hiari let it be. Mimi sichomi kabisa hata iweje, let us see zombi watakvyozaliwa. Hii chanjo tatizo lake ni new technology, hakuna anayefahamu madhara yake.
Wewe huna akili,wapi nimesema kuhusu kuchoma kama ni lazima? Hata hivyo serikali imetangaza vituo maalum(hospitali na vituo vya afya) vitakavyotumika kwa wale wanaotaka kuchanjwa na sio shuleni isitoshe hiyo chanjo haitolewi kwa watoto wa shule sasa kama watu wangekuwa makini wangezingatia hayo ,hilo ndio kusudio langu lakini kutokana na ujinga uliowajaa wapuuzi kama wewe anakuja mtu anazua uongo na watu wanapatwa na taharuki bila sababu.
 
Kweli sehemu nyingine ndiyo maana hata maendeleo yamewakataa! Sasa kama akili yenyewe imedumaa namna hiyo, maendeleo yatapatikanaje?
 
Elimu jamani, elimu jamani!
Elimu muhimu jamani
Sasa hao wazazi waambie njooni shuleni kufuatilua maendeleo ya watoto, nina hakika hata mmoja hataenda
 
Back
Top Bottom