macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Uzalendo siyo uraia. Narudia uzalendo siyo uraia. Unaweza kuwa raia na usiwe mzalendo. Hivyo hoja yako haina base yoyote. Inaonekana una chuki tu na watu waliosafiri. Soma vitabu vya Shaaban Robert upate maarifa.Kama ni wazalendo wa kweli wakane uraia wa Nchi zingine wabaki na uraia wa Tanzania
Halafu inapunguza uzalendo, watawala watafisadi umma na kukimbilia kwingine. Kuna wageni watakuja TZ kwa mwanya huo huo na kuifanya nchi iwe shamba la bibi.Waulize wa afgan watakwambia dual nationality only favours watawala.
Hames kazai ni muafghan na mmarekani kala nchi ya afghanistan sasa huyo yupo zake united states of amrica anaenjoy.Halafu inapunguza uzalendo, watawala watafisadi umma na kukimbilia kwingine. Kuna wageni watakuja TZ kwa mwanya huo huo na kuifanya nchi iwe shamba la bibi.
Nan sio Kenya pekee, hata Rwanda taifa dogo wameukabari na majirani wote wanaotuzunguka, sisi bado tuko fofofo tu tunapambana na kufukua vifusi vy amagaorofa kwa wiki nzima na siku za ziadaUshauri wako ni Mzuri lakini ninacho shangaa Serikali Ya Tanzania kwa nini inaogopa Huo Uraia Pacha? Ungekuwa Uraia Pacha una madhara jirani zetu Wa-Kenya wasingekubali kuruhusu huo Uraia Pacha Bado sisi Wa-Tanzania tuko nyuma kila kitu ingelifaa tuige wenzetu majirani zetu Wa-Kenya walioruhusu Uraia Pacha.
Ccm walishakataa hilo kitambo sana..Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024.
Paskali
Mbona huko Kenya na kwingineko haya uliyosema hayapo? ay utafungulia ti pandola boxi bila masharti, itifaki, mila a destruri? ni Madhara gani yameonekana mpaka sasa kwa ile Serikali ya kikwete kuwapa Warundi LAKI 5 Uraia wa Tanzania miaka ya utawala wake?Halafu inapunguza uzalendo, watawala watafisadi umma na kukimbilia kwingine. Kuna wageni watakuja TZ kwa mwanya huo huo na kuifanya nchi iwe shamba la bibi.
katika dunia ya leo, ukitenda kosa kuna extradition, na bora uibe pesa uweke hapa africa ukipeleka nje zitarudi kirahisi sana. angalia, Kenya, rwanda, ghana, nigeria, south, angola, Uingereza, Marekani, Canada etc wameathirika na nini?Halafu inapunguza uzalendo, watawala watafisadi umma na kukimbilia kwingine. Kuna wageni watakuja TZ kwa mwanya huo huo na kuifanya nchi iwe shamba la bibi.
Bandiko Kuntu sana... labda wataamka, siku wakitoka madarakani ndio watakumbuka kuupigania huo uraia pacha- nadhani.diaspora gani wanaojitambua? nadhani kama tunasolve issue ya uraia tuongee ukweli na tuwathamini tu kwa sababu ni watoto wetu na hakuna madhara wakiwa na uraia pacha, ila ni diaspora gani anajitambua, tutajie hata mmoja tu. mange? is that the real picture?
Tanzania ina over protectionism isiyo na umuhimiu wowote na hii inatokana na sera za nyerere za ujamaa, nenda hata urusi au china uone kama kuna uraia pacha, wanaogopa kuliko chochote, sababu yao kuu ati mtu hatakuwa royal kwa serikali yake, wengine wanafikiri mtu akiwa na allegiance kwa nchi mbili atatoa siri za nchi. siri zipi sasa kama Tanzania au Africa hii ambayo Marekani akitaka kukujua hahitaji mtu wa ndani, atatumia mitandao tu anakufahamu hadi chooni kwako? ni kitu gani tunacholinda hasa hadi tuwakatae watoto wetu kaka zetu na dada zetu walioenda kutafuta maisha nje? tujifunze basi, nchi zenye uraia pacha zimepata madhara gani? mfano Kenya, Rwanda, Nigeria, Ghana, South Africa, Congo DR etc wamepata madhara gani? ati watu watakuja kuchukua ardhi, kwani wakichukua wakaiendeleza pakawa pazuri utaathirika nini? wanaondoka na ardhi? Dubai mbona kuna kila mtu na maendeleo yanaonekana ni ya wadubai? kwani mtu akija na pesa yake akaspend hapa si ameongeza mzunguko, uchumi na ajira? akili za wanaopinga uraia pacha ni finyu sana.
Babu Tale huyoProbably ni mbunge huyu mgonga meza na mawazo yake! 😛 😛 😛
Ujinga mwingine yaani, kwamba wameshindwa kujenga mpaka wale huku na huku. I don't believe so.Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024.
Paskali
Very trueDIASPORA ni watu wanaojitambua na serikali yetu ya ccm huwa inataka kuwatawala wajinga ili itawale kwa mda mrefu
wanashindwa kujiuliza, Canada ambayo ipo magharibi, UIngereza, ufaransa, nchi kibao za francophone huko africa magharibi, Marekani ambayo ina maadui lukuki, wana uraia pacha. na dunia ya leo Marekani anafahamu kuwa kesho iran itarusha makombora au Urusi itapiga ukrain wakati akiwa washington anakunywa kahawa. ulimwengu tuliofikia tunahitaji watu mara chache sana kutulinda, zaidi ni mitambo ambayo africa hatuna, sisi bado tupo kwenye ujima. simu zote hatuundi hapa, computer zote, tech zote hadi internet tunategemea tech zao, wakiwa kwao wanatuchungulia hadi hawahitaji kugharimia kulipa mamluki waishi hapa, wanahitaji wachache tu, sasa tunacholinda ni nini?Bandiko Kuntu sana... labda wataamka, siku wakitoka madarakani ndio watakumbuka kuupigania huo uraia pacha- nadhani.
Bandiko lako la kwanza na hili nimeyapenda sana, ubarikiwe kwa maoni uliyotopa humu, labda wenye madaraka watakusikia. Hata hao Israel wenye uraia pacha wako vitani kila siku na Hamasi, Lebanoni na akina Ayatollah na bado wanaukubari huo Uraia pacha, serikali amkeni, acheni mtima nyongo kwa ndugu zetu huko nje ya nchi na ili hali misaada munawaomba kila siku na kupewa. Wao wakiowaomba hiyo uraia pacha, hamtaki, nyie mkiwaomba misaada na michango wanatoa. Kwa nini mumekuwa na masharti mengi ili hali wao huwa hawawapi hayo masharti wanapo wasidiaga?wanashindwa kujiuliza, Canada ambayo ipo magharibi, UIngereza, ufaransa, nchi kibao za francophone huko africa magharibi, Marekani ambayo ina maadui lukuki, wana uraia pacha. na dunia ya leo Marekani anafahamu kuwa kesho iran itarusha makombora au Urusi itapiga ukrain wakati akiwa washington anakunywa kahawa. ulimwengu tuliofikia tunahitaji watu mara chache sana kutulinda, zaidi ni mitambo ambayo africa hatuna, sisi bado tupo kwenye ujima. simu zote hatuundi hapa, computer zote, tech zote hadi internet tunategemea tech zao, wakiwa kwao wanatuchungulia hadi hawahitaji kugharimia kulipa mamluki waishi hapa, wanahitaji wachache tu, sasa tunacholinda ni nini?
halafu, hivi ukifungua milango watu wakawekeza hapa, wakajenga hapa hiyo ardhi mnayoilinda kwani wataipakiza kwenye ndege? si kila kitu kinahitaji kutungiwa sheria tu? nchi zote zenye uraia pacha zimefanya vizuri kuliko zinazolinda. na diaspora wengi wamepata uraia kule ila pesa kibao wanaletea ndugu hapahapa bongo, wanatibu ndugu ambao serikali imeshindwa kuwapa hata bima. na waliomba uraia pacha kwa ajili ya kutafuta maisha tu ila nyumbani ni nyumbani hata iweje.
Advocate bado upo unatalii??Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024.
Paskali
Ungeweka wazi tu kuwa familia yako inaishi US, hivyo kwenye hoja hii una maslahi nayo binafsi, maana ww sio muumini wa kudai jambo lisilotakiwa na ccm kama huna maslahi nalo binafsi.Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024.
Paskali
Duh。。。!, kumbe ni wewe umenisagia kunguni!。All and all,nimekuja for a private visit,US is my second home,wife,kids,family ni US subjects, hivyo lengo la safari limetimia,with or without your connections。Tatizo lako ni moja hueleweki .
Tangu nimesikia umekuja hata wale watu ninaowafahamu nimewataadharisha wasikupe engagement ya aina yoyote maana leo uko moto kesho baridi.
Nipo nimeisharejea, diaspora wengi ninaowatafuta hawatoi ushirikiano what they do,Wakenya,Waganda wako very open and transparent,wabongo 。。。!Advocate bado upo unatalii??
Rudi uje upige kura tarehe 27.
Mbona bado tunaibiwa mapesa kibao na malisilimali kibao na raia wasio wa inchi singine?Umakini unahitajika kuwaingiza kwenye uchumi wa Nchi watu wenye uwezo kuliko wenyeji na wana uraia wa Nchi zingine si salama kwa Nchi husika.
Umeongea ukweli mkuuWawape tu uraia pachą kwanza itasaidia Tanzania kupata remittance, upande wa diaspora zaidi psychological (belonging).
Hizo nyumba wanazojenga nyie jipangeni akifa nani mrithi, 90% yao wanazikwa huko huko walipo.
Watu wana watoto wakubwa na wajukuu wengi wao Tanzania hawaijui kabisa ndio waje wazike wazazi wao Tanzania.
Kwetu tushazika dada yangu wa kwanza ulaya, alijenga nyumba yake mwenyewe mumewe alirudi sasa hivi anaishi na mke mpya. Maamuzi ya kuzika ulaya ilikuwa ni baada ya kikao cha familia, bado wengine wamekazana kujenga mijumba na wana wajukuu tayari ulaya. Wazimu mtupu.
Tushazika binamu yangu, badala ya kuletwa Tanzania wazazi wake ndio wamepanda ndege kuja mzika.
Huu mji ninaoishi kwenye siku 30 tushazika watu wazima wawili, watoto na wajukuu wametaka hivyo.
Toka nimeamia huu mji tushazika watu kama saba kijana mmoja wakihaya japo hakuwa na watoto ila ndugu zake wakasema azikwe huku. Mwingine mumewe japo anapiga trip za Africa sana kutokana na watoto akaamua mkewe azikwe huku.
Dual citizenship kwa diaspora ni psychological issue tu ya belonging bado wana mapenzi ya moyoni na Tanzania. Lakini uhalisia ina faida kwa ndugu na jamaa kwenye mirathi kuliko diaspora wenyewe. Wawape tu huo uraia pachą wajenge hizo nyumba na kuweka vitega uchumi kwa faida za ndugu zao wakifa.