Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga

Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga

Halafu inapunguza uzalendo, watawala watafisadi umma na kukimbilia kwingine. Kuna wageni watakuja TZ kwa mwanya huo huo na kuifanya nchi iwe shamba la bibi.
Hames kazai ni muafghan na mmarekani kala nchi ya afghanistan sasa huyo yupo zake united states of amrica anaenjoy.
Wabunge wengi wa afghanistan walikuwa na urai pia wa ujerumani sasa wapo europe wanajienjoy.

Dual nationality ni kwa manufaa ya watawala but never sie bodaboda.
 
Ushauri wako ni Mzuri lakini ninacho shangaa Serikali Ya Tanzania kwa nini inaogopa Huo Uraia Pacha? Ungekuwa Uraia Pacha una madhara jirani zetu Wa-Kenya wasingekubali kuruhusu huo Uraia Pacha Bado sisi Wa-Tanzania tuko nyuma kila kitu ingelifaa tuige wenzetu majirani zetu Wa-Kenya walioruhusu Uraia Pacha.
Nan sio Kenya pekee, hata Rwanda taifa dogo wameukabari na majirani wote wanaotuzunguka, sisi bado tuko fofofo tu tunapambana na kufukua vifusi vy amagaorofa kwa wiki nzima na siku za ziada

Hao majirani zetu wao wana nini cha ziada kuukubari na sisi hatuutaki, sijui hadhi maalumu malafyale kitu gani? Serikali kama ina nia njema na watu wake - inabidi iaxchie fursa kila corner ikiwemio hiyo uraia pacha. Zama za old stone age zinjathropasi, msolopagazi na ndugu zake wa maji maji- Kinjekitile hakuna tena. Kwa sasa ni fursa tu ndio inaangaliwa.
 
Halafu inapunguza uzalendo, watawala watafisadi umma na kukimbilia kwingine. Kuna wageni watakuja TZ kwa mwanya huo huo na kuifanya nchi iwe shamba la bibi.
Mbona huko Kenya na kwingineko haya uliyosema hayapo? ay utafungulia ti pandola boxi bila masharti, itifaki, mila a destruri? ni Madhara gani yameonekana mpaka sasa kwa ile Serikali ya kikwete kuwapa Warundi LAKI 5 Uraia wa Tanzania miaka ya utawala wake?
 
Halafu inapunguza uzalendo, watawala watafisadi umma na kukimbilia kwingine. Kuna wageni watakuja TZ kwa mwanya huo huo na kuifanya nchi iwe shamba la bibi.
katika dunia ya leo, ukitenda kosa kuna extradition, na bora uibe pesa uweke hapa africa ukipeleka nje zitarudi kirahisi sana. angalia, Kenya, rwanda, ghana, nigeria, south, angola, Uingereza, Marekani, Canada etc wameathirika na nini?
 
diaspora gani wanaojitambua? nadhani kama tunasolve issue ya uraia tuongee ukweli na tuwathamini tu kwa sababu ni watoto wetu na hakuna madhara wakiwa na uraia pacha, ila ni diaspora gani anajitambua, tutajie hata mmoja tu. mange? is that the real picture?

Tanzania ina over protectionism isiyo na umuhimiu wowote na hii inatokana na sera za nyerere za ujamaa, nenda hata urusi au china uone kama kuna uraia pacha, wanaogopa kuliko chochote, sababu yao kuu ati mtu hatakuwa royal kwa serikali yake, wengine wanafikiri mtu akiwa na allegiance kwa nchi mbili atatoa siri za nchi. siri zipi sasa kama Tanzania au Africa hii ambayo Marekani akitaka kukujua hahitaji mtu wa ndani, atatumia mitandao tu anakufahamu hadi chooni kwako? ni kitu gani tunacholinda hasa hadi tuwakatae watoto wetu kaka zetu na dada zetu walioenda kutafuta maisha nje? tujifunze basi, nchi zenye uraia pacha zimepata madhara gani? mfano Kenya, Rwanda, Nigeria, Ghana, South Africa, Congo DR etc wamepata madhara gani? ati watu watakuja kuchukua ardhi, kwani wakichukua wakaiendeleza pakawa pazuri utaathirika nini? wanaondoka na ardhi? Dubai mbona kuna kila mtu na maendeleo yanaonekana ni ya wadubai? kwani mtu akija na pesa yake akaspend hapa si ameongeza mzunguko, uchumi na ajira? akili za wanaopinga uraia pacha ni finyu sana.
Bandiko Kuntu sana... labda wataamka, siku wakitoka madarakani ndio watakumbuka kuupigania huo uraia pacha- nadhani.
 
Bandiko Kuntu sana... labda wataamka, siku wakitoka madarakani ndio watakumbuka kuupigania huo uraia pacha- nadhani.
wanashindwa kujiuliza, Canada ambayo ipo magharibi, UIngereza, ufaransa, nchi kibao za francophone huko africa magharibi, Marekani ambayo ina maadui lukuki, wana uraia pacha. na dunia ya leo Marekani anafahamu kuwa kesho iran itarusha makombora au Urusi itapiga ukrain wakati akiwa washington anakunywa kahawa. ulimwengu tuliofikia tunahitaji watu mara chache sana kutulinda, zaidi ni mitambo ambayo africa hatuna, sisi bado tupo kwenye ujima. simu zote hatuundi hapa, computer zote, tech zote hadi internet tunategemea tech zao, wakiwa kwao wanatuchungulia hadi hawahitaji kugharimia kulipa mamluki waishi hapa, wanahitaji wachache tu, sasa tunacholinda ni nini?

halafu, hivi ukifungua milango watu wakawekeza hapa, wakajenga hapa hiyo ardhi mnayoilinda kwani wataipakiza kwenye ndege? si kila kitu kinahitaji kutungiwa sheria tu? nchi zote zenye uraia pacha zimefanya vizuri kuliko zinazolinda. na diaspora wengi wamepata uraia kule ila pesa kibao wanaletea ndugu hapahapa bongo, wanatibu ndugu ambao serikali imeshindwa kuwapa hata bima. na waliomba uraia pacha kwa ajili ya kutafuta maisha tu ila nyumbani ni nyumbani hata iweje.
 
Viongozi wengi Tanzania Wana upeo mdogo sana;ukitaka kuwabaini uwezo wao rejea sababu za kukwama katiba mpya ni zipi!!
Hawataki Watanzania wawe na Urais pacha na uku wao na familia zao wanamiliki mijrngo ughaibuni!!
Primitive intelligence thinking!!
 
wanashindwa kujiuliza, Canada ambayo ipo magharibi, UIngereza, ufaransa, nchi kibao za francophone huko africa magharibi, Marekani ambayo ina maadui lukuki, wana uraia pacha. na dunia ya leo Marekani anafahamu kuwa kesho iran itarusha makombora au Urusi itapiga ukrain wakati akiwa washington anakunywa kahawa. ulimwengu tuliofikia tunahitaji watu mara chache sana kutulinda, zaidi ni mitambo ambayo africa hatuna, sisi bado tupo kwenye ujima. simu zote hatuundi hapa, computer zote, tech zote hadi internet tunategemea tech zao, wakiwa kwao wanatuchungulia hadi hawahitaji kugharimia kulipa mamluki waishi hapa, wanahitaji wachache tu, sasa tunacholinda ni nini?

halafu, hivi ukifungua milango watu wakawekeza hapa, wakajenga hapa hiyo ardhi mnayoilinda kwani wataipakiza kwenye ndege? si kila kitu kinahitaji kutungiwa sheria tu? nchi zote zenye uraia pacha zimefanya vizuri kuliko zinazolinda. na diaspora wengi wamepata uraia kule ila pesa kibao wanaletea ndugu hapahapa bongo, wanatibu ndugu ambao serikali imeshindwa kuwapa hata bima. na waliomba uraia pacha kwa ajili ya kutafuta maisha tu ila nyumbani ni nyumbani hata iweje.
Bandiko lako la kwanza na hili nimeyapenda sana, ubarikiwe kwa maoni uliyotopa humu, labda wenye madaraka watakusikia. Hata hao Israel wenye uraia pacha wako vitani kila siku na Hamasi, Lebanoni na akina Ayatollah na bado wanaukubari huo Uraia pacha, serikali amkeni, acheni mtima nyongo kwa ndugu zetu huko nje ya nchi na ili hali misaada munawaomba kila siku na kupewa. Wao wakiowaomba hiyo uraia pacha, hamtaki, nyie mkiwaomba misaada na michango wanatoa. Kwa nini mumekuwa na masharti mengi ili hali wao huwa hawawapi hayo masharti wanapo wasidiaga?
 
Tatizo lako ni moja hueleweki .
Tangu nimesikia umekuja hata wale watu ninaowafahamu nimewataadharisha wasikupe engagement ya aina yoyote maana leo uko moto kesho baridi.
Duh。。。!, kumbe ni wewe umenisagia kunguni!。All and all,nimekuja for a private visit,US is my second home,wife,kids,family ni US subjects, hivyo lengo la safari limetimia,with or without your connections。
thanks。
p
 
Umakini unahitajika kuwaingiza kwenye uchumi wa Nchi watu wenye uwezo kuliko wenyeji na wana uraia wa Nchi zingine si salama kwa Nchi husika.
Mbona bado tunaibiwa mapesa kibao na malisilimali kibao na raia wasio wa inchi singine?
Eti kulinda usarendo, usarendo upi?
Usarendo unaovunjwa na wenyesi wa siyo diaspora.
 
Wawape tu uraia pachą kwanza itasaidia Tanzania kupata remittance, upande wa diaspora zaidi psychological (belonging).

Hizo nyumba wanazojenga nyie jipangeni akifa nani mrithi, 90% yao wanazikwa huko huko walipo.

Watu wana watoto wakubwa na wajukuu wengi wao Tanzania hawaijui kabisa ndio waje wazike wazazi wao Tanzania.

Kwetu tushazika dada yangu wa kwanza ulaya, alijenga nyumba yake mwenyewe mumewe alirudi sasa hivi anaishi na mke mpya. Maamuzi ya kuzika ulaya ilikuwa ni baada ya kikao cha familia, bado wengine wamekazana kujenga mijumba na wana wajukuu tayari ulaya. Wazimu mtupu.

Tushazika binamu yangu, badala ya kuletwa Tanzania wazazi wake ndio wamepanda ndege kuja mzika.

Huu mji ninaoishi kwenye siku 30 tushazika watu wazima wawili, watoto na wajukuu wametaka hivyo.

Toka nimeamia huu mji tushazika watu kama saba kijana mmoja wakihaya japo hakuwa na watoto ila ndugu zake wakasema azikwe huku. Mwingine mumewe japo anapiga trip za Africa sana kutokana na watoto akaamua mkewe azikwe huku.

Dual citizenship kwa diaspora ni psychological issue tu ya belonging bado wana mapenzi ya moyoni na Tanzania. Lakini uhalisia ina faida kwa ndugu na jamaa kwenye mirathi kuliko diaspora wenyewe. Wawape tu huo uraia pachą wajenge hizo nyumba na kuweka vitega uchumi kwa faida za ndugu zao wakifa.
Umeongea ukweli mkuu
mtu wa nje atakuelewa vizuri sana
Baishara au majengo tutayojenga sio yetu kwani wengi mda umeenda bali kuna watoto na ndugu watakaorithi
Kufa lazima na hatutaishi milele ila tunajua jua limeanza kuzama kwa wengi
 
Back
Top Bottom