Huyo ni mwizi na mnafiki. Kwanza Baba yake siyo Kigwangala bali ni Bagalile. Aliiba jina la Hamus Kigwangalaaliyekuwaamechaguliwa kwenda kysoma Kigoma.
Kwenye maelezo yake hapo,ameruka ruka, na hasemi kuwa alisoma pale Kitongo, yeye akitumia jina la Hamis Bagalile, na classmate wake aliitwa Hamis Kigwangala. Huyu Bagalile,Mama yake kwa kuwaalikuwa pale ofusu ya Elimu Nzega, alimpa barua ya kujiunga sekondari mwanae, na Kigwangala akidangantwa kuwa barua yake haijapokelewa hapo wilayani.
Baada ya kumaliza Form 6, tulimwajiri pale mgodi wa Lisu, kwenye kampuni ya Moolman Brithers, tukamqeka store. Akaiba baruti, tukamweka ndani,baadaye tuliamua kumwachia na kumfukuza kazi.
Ni mtu mwenye asili ya tamaa na uovu.