Kuna kitu watu wengi hawafahamu. Kama haujawahi kucheza mpira kwa miaka kadhaa hata kama umecheza amateur yaani hukucheza ligi za FAT au TFF lakini umecheza mpira. Unakuwa tofauti sana. Narudia tena unakuwa tofauti sana kimtazamo na mtu asiyecheza mpira.
Kwa mtu aliyecheza mpira kujua uwezo wa mchezaji ktk position fulani na kusema huyu ni hasara au huyu anajua au huyu anauwezo wa kawaida inahitaji mtu aliyeucheza mpira kwa kipindi fulani ktk maisha yake.
Mtoa mada hajacheza mpira. Alikuwa anafanya mazoezi ya mpira ila hajaucheza. Ukiucheza, unakuwa na ufikiri wa tofauti na kuangalia mchezo na mchezaji kwa utofauti labda uamue makusudi kuwa biased.
Sent from my Infinix X688B using
JamiiForums mobile app