Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alichezea mpira aina ya salama,rough rider,dume,na ile ya bei ndogo inaitwa zana๐๐๐๐Kuna kitu watu wengi hawafahamu. Kama haujawahi kucheza mpira kwa miaka kadhaa hata kama umecheza amateur yaani hukucheza ligi za FAT au TFF lakini umecheza mpira. Unakuwa tofauti sana. Narudia tena unakuwa tofauti sana kimtazamo na mtu asiyecheza mpira.
Kwa mtu aliyecheza mpira kujua uwezo wa mchezaji ktk position fulani na kusema huyu ni hasara au huyu anajua au huyu anauwezo wa kawaida inahitaji mtu aliyeucheza mpira kwa kipindi fulani ktk maisha yake.
Mtoa mada hajacheza mpira. Alikuwa anafanya mazoezi ya mpira ila hajaucheza. Ukiucheza, unakuwa na ufikiri wa tofauti na kuangalia mchezo na mchezaji kwa utofauti labda uamue makusudi kuwa biased.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
heshimu vikoba mkuuMhasibu wa vicoba huyu
CPA OKWI BOBAN SUMZU PhD.
Aumbuke mara ngapi, hata hamu ya uzi wake hana๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Kijumbe wa mchezo wa bukubuku.Huyu sio Muhasibu ni kijumbe
Nmecheka qmamakeHuyu sio Muhasibu ni kijumbe