Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kuna kitu watu wengi hawafahamu. Kama haujawahi kucheza mpira kwa miaka kadhaa hata kama umecheza amateur yaani hukucheza ligi za FAT au TFF lakini umecheza mpira. Unakuwa tofauti sana. Narudia tena unakuwa tofauti sana kimtazamo na mtu asiyecheza mpira.

Kwa mtu aliyecheza mpira kujua uwezo wa mchezaji ktk position fulani na kusema huyu ni hasara au huyu anajua au huyu anauwezo wa kawaida inahitaji mtu aliyeucheza mpira kwa kipindi fulani ktk maisha yake.

Mtoa mada hajacheza mpira. Alikuwa anafanya mazoezi ya mpira ila hajaucheza. Ukiucheza, unakuwa na ufikiri wa tofauti na kuangalia mchezo na mchezaji kwa utofauti labda uamue makusudi kuwa biased.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
alichezea mpira aina ya salama,rough rider,dume,na ile ya bei ndogo inaitwa zana๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Aumbuke mara ngapi, hata hamu ya uzi wake hana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Za chini chini ni kwamba mleta uzi hakuwahi kucheza mpira hata wa makaratasi na ni muhitimu wa KLF pale Tabora boys which means hamna namna anaweza kuwa alisoma Accounts baadae hata kwa ngazi ya certificate. Hapa anaongelea mambo mawili asiyo yajua hata kidogo
 
Back
Top Bottom