Huu uzi ni burudani sana ,tumekubaliana Azizi Ki akikiwasha tu huu uzi unafufuliwa na unakuwa live kwa siku mbili mpaka next mechi mpaka akiwashe tena.Ngoja tumuweke kiporo mpaka Aziz Ki akikiwasha tena. Ni burudani tosha yaani mechi ikiisha huko tunahamia huku kuendeleza burudani πππ
View attachment 2790559
Yule tulikuwa naye siyo muda na hapa anasoma comments kimyakimya.Unavyoongea utadhani mtu akianzisha uzi basi analazimika 24/7 kuwepo kusoma comments.Pengine hana hata habari kama mpo hapa na yeye anaendelea na hamsini zake.
Atajinyonga mtanzania mwenzetu huyuHivi huyu mhasibu wetu alisoma chuo gani? GPA yake ilikuwaje? [emoji16][emoji16][emoji2099]
Maxence Melo, fungeni huu uzi kumnusuru huyu jamaa.Ulifanya kosa kubwa sana kuanzisha huu Uzi ongea na mods wafanye jambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maxence Melo, fungeni huu uzi kumnusuru huyu jamaa.
Cookie alimsaidie uzi wa Takwimu Kibu D Vs Mayele heading ikaeditiwa neno "zingatia uchungu " likafutwa na baadhi ya post mpaka wazee wa updates tukaleta mgomo kutembeza hashtags za kutaka haki itendeke, hapo wakurudisha uzi kama ulivyokuwa.Maxence Melo, fungeni huu uzi kumnusuru huyu jamaa.
Huu uzi ni msumari wa moto kwa mhasibu...kamwe maumivu ya uhasibu wake hato kuja kuyasahau...mpaka aseme
Cookie alimsaidie uzi wa Takwimu Kibu D Vs Mayele heading ikaeditiwa neno "zingatia uchungu " likafutwa na baadhi ya post mpaka wazee wa updates tukaleta mgomo kutembeza hashtags za kutaka haki itendeke, hapo wakurudisha uzi kama ulivyokuwa.
Wafuta kwenye heading neno "Kihasibu" watakuwa wamemsaidia sana maana comments zote zinabase hapo.
Thubutuuu!angekua na uwezo huo angekua kishaufuta πFuta huu uzi
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Ndg muhasibu sio mbaya ukiomba poo....