Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Ngoja tumuweke kiporo mpaka Aziz Ki akikiwasha tena. Ni burudani tosha yaani mechi ikiisha huko tunahamia huku kuendeleza burudani 😁😁😁

View attachment 2790559
Huu uzi ni burudani sana ,tumekubaliana Azizi Ki akikiwasha tu huu uzi unafufuliwa na unakuwa live kwa siku mbili mpaka next mechi mpaka akiwashe tena.

Kutokana na kesho nayo siku natunza vibomu vingine kwa matumizi ya baadae.
 
Huu uzi nuliandika tokea mechi ya kwanza ya Azizi Ki Yanga , muhasibu angezingatia uchambuzi humo asingeandika huu uzi .
 
Maxence Melo, fungeni huu uzi kumnusuru huyu jamaa.
Cookie alimsaidie uzi wa Takwimu Kibu D Vs Mayele heading ikaeditiwa neno "zingatia uchungu " likafutwa na baadhi ya post mpaka wazee wa updates tukaleta mgomo kutembeza hashtags za kutaka haki itendeke, hapo wakurudisha uzi kama ulivyokuwa.

Wafuta kwenye heading neno "Kihasibu" watakuwa wamemsaidia sana maana comments zote zinabase hapo.
 
KIHASIBU[emoji23][emoji23]
 
Kutaneni na Mhasibu wenyewe sasa mnaemsakama
1000_F_506483189_rPqxq1CJDrl9MPAd9PvOnM6KkzY46jht.jpg
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account

Na sasa ikoje? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom