adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Huu uzi ni burudani sana ,tumekubaliana Azizi Ki akikiwasha tu huu uzi unafufuliwa na unakuwa live kwa siku mbili mpaka next mechi mpaka akiwashe tena.Ngoja tumuweke kiporo mpaka Aziz Ki akikiwasha tena. Ni burudani tosha yaani mechi ikiisha huko tunahamia huku kuendeleza burudani 😁😁😁
View attachment 2790559
Kutokana na kesho nayo siku natunza vibomu vingine kwa matumizi ya baadae.