Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Uliona goli alilofunga jana? we Boya kweli
 
Unaona umbumbumbu wenu ulipo?

Kuna mchezaji asiyejuwa kupiga tiktak?
Ishu sio Tiktak ishu ni mazingira gani umepiga hiyo tiktak

Mbona Mayele alipiga tiktak msimu uliopita lakini alipiga tiktak akiwa peke yake hakukuwa na wachezaji wa timu pinzani waliokuwa wakigombea mpira

Phiri kapiga tikatak mpira ambao ulikuwa unagombewa na walinzi zaidi ya watatu
 
Basi itakuwa umeanza kuangalia Mpira kipindi cha Mwamedi Dewji.

Hayo magoli ya tiktak Said Mwamba Kizota amefunga sana.
 
Basi itakuwa umeanza kuangalia Mpira kipindi cha Mwamedi Dewji.

Hayo magoli ya tiktak Said Mwamba Kizota amefunga sana.
Nani kasema magoli ya tiktak yanayofungwa na wachezaji wa Simba hayajawahi fungwa na timu zingine?

Unaelewa hata unachokiandika?
 
Soon wazee wa mihemuko mtaanzisha mayele vs phiri,hiyo ndio faraja yenu iliyobaki
 
Soon wazee wa mihemuko mtaanzisha mayele vs phiri,hiyo ndio faraja yenu iliyobaki
Mayele ana nini nyie mbona mmekuwa watumwa kwake kiasi hicho?

Kuna mmoja nilimsikia akisema anatamani angekuwa mwanamke ili alale na Mayele, kwanini Mayele awafamye mfikie hatua hiyo?

Au ni ushamba uliotokana na kukaa misimu mingi bila ubingwa plus na ubovu wa kina kalinyo na sapong?
 
kama sio wewe vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…