Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account

Umeonyesha upumbafu wako hapo. Kwa hiyo mwisho wa mwaka balance c/f kwenye Registration itakuwa 800m kwa mtu mmoja? Huu ndio upumbavu mnsofundishwa vyuoni au WE ulikuwa unawasindikiza wenzako? Idiot.
Kumbuka WE taahira credit balance kwenye p&l account ni faida.
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Hebu tuambie hivi ukiingia makundi Bei gani vile🥱.je hasara imepungua ,imeisha au imeongezeka🦁thimbaaa wee🏃🏃
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
hahahaha,jamaa hasara sana, ama kwdli rage hakukosea kuita nyie mbumbumbu
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
bado hizo hesabu zako zipo?
 
nimeona rafiki,sio kwa pira lile,mgeni mpk kaogopa
Acha kabisa rafiki.

Na hawakuamini sababu si ajabu walipoona tunatokea Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wao wakajua wakiwa kwao watakuwa wamapata wale wale mchekea kama ilivyokuwa Kipanga.
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
mahesbu ya kihasibu yako hv

Milioni 200 zilitumika siku ya derby nadhani uliona
milion 200 zingine zimetuka tunis

Unataka hesabu nyingine?
 
Back
Top Bottom